Peter Msigwa: John Mrema ni moja ya watu wa hovyo ndani ya chadema, ni shamba boy wa mwamba

Naona mioyo yenu inabubujikwa na machozi ya huzuni kwa kuendelea kukimbiwa na watu wote wenye akili Timamu na wanaojitambua vyema.
Rushwa ni Adui wa Haki Abdul anaimaliza nchi kama Tanzania ingekuwa kama Zambia basi Mama Samiah anastahili kifungo baada ya kumaliza awamu yake.
 
Naona mioyo yenu inabubujikwa na machozi ya huzuni kwa kuendelea kukimbiwa na watu wote wenye akili Timamu na wanaojitambua vyema.
Ccm hata leo mkisajili top 12 ya viongozi 2025 uchaguzi ukifanyika kaeni mguu sawa,aya ni maono ya mbali sana chawa yeyote hawezi elewa hii
 
Si angelisema kwenye vikao vya Chama chake alichokuwepo.
Ni vizuri akawa anaeleza nini ataifanyia CCM,hayo mengine ni majungu.
 
Kweli mpumbavu mpe tu kamba ndefu, mwisho atajinyonga nayo. Huyu ndio Msigwa, tangu ahamie CCM hata mashabiki wake wamemdharau mnooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…