Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Chama Gani ? Report Ya Bashiru Ally Kakurwa Uliisoma YoteAmeshasema kuwa akizungumza yote basi hakuna atakayebakia CHADEMA
Unadhani Tatizo Nini Haikuwekwa Bayana
Viongozi Wote Wa Gamba Wadokozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama Gani ? Report Ya Bashiru Ally Kakurwa Uliisoma YoteAmeshasema kuwa akizungumza yote basi hakuna atakayebakia CHADEMA
Jumapili anasalisha na watu wanaojiita "waumini" wanamsikiliza, dah ..Shikamoo KAGAME.Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe.View attachment 3065994
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
unalazimisha ujibiwe huo ujinga ,mbona serikali yenu HAJAWAHI kujibu tuhuma za profesa LOWASa mpaka umauti wake pamojaHilo siyo jibu.kikubwa ni kujibu tuhuma.
Shida ya Msigwa ,ni kuaminisha yeye mwenyewe kwamba anayo nguvu ya kuweza isambaratisha chadema, kumbe anajidanganya PakubwaNdugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe.View attachment 3065994
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
The headless chicken Lucas Mwashambwa is here again!Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe.View attachment 3065994
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sawa kashasema! So!?Yeye anaongea ukweli anaoujuwa vyema.kumbuka ya kuwa mchungaji peter Msigwa anaifahamu vyema sana CHADEMA na Madudu yake yote. Sasa wewe ni nani mpaka umpinge Mchungaji na Mtumishi wa MUNGU?
Acha ujinga wako hapa weweThe headless chicken Lucas Mwashambwa is here again!
Kaa kwa kutulia na siyo kupata presha kabla hata hajaanza kuzunguka Nchi nzimaShida ya Msigwa ,ni kuaminisha yeye mwenyewe kwamba anayo nguvu ya kuweza isambaratisha chadema, kumbe anajidanganya Pakubwa
Ninyi ma CHADEMA si ndio mlikuwa mnasema ni fisadi? Sasa mbona mlimchukua kiwa mgombea wenu?unalazimisha ujibiwe huo ujinga ,mbona serikali yenu HAJAWAHI kujibu tuhuma za profesa LOWASa mpaka umauti wake pamoja
Acha...ibakie makosa ya jinai hayana deadline
Kweli wewe una matatizo mkubwa sana.yaani unaniuliza kama niliisoma yote halafu hapo hapo unasema na kuuliza kama ninajuwa sababu za kutokuwekwa waziChama Gani ? Report Ya Bashiru Ally Kakurwa Uliisoma Yote
Unadhani Tatizo Nini Haikuwekwa Bayana
Viongozi Wote Wa Gamba Wadokozi
Anaendelea kuifanya kazi hiyo kila uchao kwa kushirikiana na viongozi mbalimbali wa CCM katika ngazi mbalimbaliMsigwa ajikite sasa kuijenga ccm
Mheshimiwa diwani kata ya Mbalizi.Ebu jikite kwenye kujipigia promo mwenyewe.
Nataka kua mke wa mheshimiwa na mimi..!
Akishirikiana na wewe pia.....Anaendelea kuifanya kazi hiyo kila uchao kwa kushirikiana na viongozi mbalimbali wa CCM katika ngazi mbalimbali
Lazima ajibiwe,aliingia Chadema akiwa na utapiamlo,ajifunze kwa lowassaCHADEMA wasimjibu chochote
Mrema ndiye alisimamia uchaguzi wa kanda ya nyasa ambao ndiyo Msigwa aliangukia pua.Baada ya kukosa uenyekiti kanda,kila mtu amekuwa mbaya.Anaonesha anamchukia kila aliyepo alipotoka.Hata mbwa akipita polepole mbele yake atampiga tekeDunia gunia.