Peter Msigwa: John Mrema ni moja ya watu wa hovyo ndani ya chadema, ni shamba boy wa mwamba

Atunze akili alizobakiwa nazo.Anajianika na kuonekana kibweka tu.
Yeye anaongea ukweli anaoujuwa vyema.kumbuka ya kuwa mchungaji peter Msigwa anaifahamu vyema sana CHADEMA na Madudu yake yote. Sasa wewe ni nani mpaka umpinge Mchungaji na Mtumishi wa MUNGU?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe.View attachment 3065994

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Simpendi msigwa ila kasema kweli kuhusu huyu jamaa huwa anaichukulia cdm kama ajira yake ya kudumu ni nimnafiki balaa
 
Yeye anaongea ukweli anaoujuwa vyema.kumbuka ya kuwa mchungaji peter Msigwa anaifahamu vyema sana CHADEMA na Madudu yake yote. Sasa wewe ni nani mpaka umpinge Mchungaji na Mtumishi wa MUNGU?
Mtumishi wa Mungu?The left-broken foot!Huyo aliyekosa shukurani kwa waliomuibua na kumlea ndiyo awe mkweli?Acha vichekesho aisee!
 
Simpendi msigwa ila kasema kweli kuhusu huyu jamaa huwa anaichukulia cdm kama ajira yake ya kudumu ni nimnafiki balaa
Na jamaa anajichukulia utafikiri yeye ni Mwenyekiti Mwenza wa Mbowe na kwamba CHADEMA ni yeye na Mbowe ndio nguzo yake..
 
Mwambie tumbili Msigwa yeye sasa ni kada wa CCM ajikite kueleza sera na mazuri ya CCM huu upuuzi kila akiamka anamuwaza Mbowe na Chadema tu inaleta shaka au aliondoka na mimba changa sasa anadai matunzo
 
Acha aseme yote mpaka mbadilike maana ninyi ni madalali ya siasa.
 
Back
Top Bottom