Tetesi: PhD aliyopewa Mwigulu Nchemba ipo kwenye hati hati ya kufutwa

Hii habari umeiokota wapi, nasi tukachimbue zaidi huko kwenye chanzo?
 
Sio Afrika hii achilia mbali Tanganyika.... imeisha hiyooooo!!
 
Hii habari umeiokota wapi, nasi tukachimbue zaidi huko kwenye chanzo?
The Inter-University Council for East Africa (IUCEA) .
IUCEA is a strategic institution of the East African
Community (EAC) responsible for coordinating the development of higher education and
research in the region.
 
Shukrani kwa taarifa hii mkuu 'peno'.
 
Kwahiyo unamaanisha viongozi wasisome au??
 
Ndio maana huko shuleni mnapata masifuri, hata kusoma kitu na kukielewa tu ni kazi.
Mkuu unapoleta thread usiwe na majibu yako mfukoni.

Wewe jibu swali accordingly, mi nimekuuliza maana inaonekana kama kuna hujuma ya baadhi ya viongozi walishapata vyeo na madaraka na hatimae kupata bumbaring PhDs

Sasa nimeuliza hii inamaanisha wakiwa viongozi wasidahiriwe kusoma hizo PhD?? Ndio msingi wa swali langu

Sasa wewe unakuja ety masifuri kwani nani amekwambia kuwa wewe umefaulu si wale wale waliotuambia sisi umepata masifuri ma ndio wanawaaward hawa viongozi PhD?

Mkuu acha kiburi hivyo vihela vyako vitaisha waulize MAKARANI wa sensa
Ndio maana huko shuleni mnapata masifuri, hata kusoma kitu na kukielewa tu ni kazi.
 
Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance wanatarajia kuifuta PhD ya Mwigulu Nchemba baada ya kuonekana kukopy andiko la mtu mwingine.
Sawa zimeanza kukata
 
Hahaha, nisamehe mimi mkuu.

Suluhisho hapa ni kuacha ujanja ujanja, sio viongozi tu ambao hufanya huu ujanja ujanja. Watu wengi wanaotaka vyeti tu ili wapande vyeo au waheshimiwe huwa wanaenda vyuoni kujifanya wanasoma kumbe ni zuga tu.

Pia, wakufunzi waheshimu taaluma zao na waache tamaa ya pesa. Maadili ya kazi ni muhimu sana.

Naendelea kuomba radhi pale nilipokukwaza!
 
Ndio sababu bara la Africa litazidi kuwa masikini kwa mambo ya blaaaablaaa kama haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…