Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

Mwigulu hata kuwa waziri tu hafai, sijui kwanini bado hajatumbuliwa?!
Nikiangalia jinsi Mh. Rais mama Samia alivyoanza kuunda team yake pia na yeye mwenyewe alivyo kiukweli siioni nafasi ya watu kama Mh. Mwigulu kubaki kwenye baraza la mawaziri.

Naiona heshima ya mawaziri na wakuu wa mikoa na wilaya kutamalaki.

Hebu mtazame Rais, Makamu wake, Waziri Mkuu hapo unapata sura kamili ya utulivu, uwajibikaji, ukomavu nk.
Mambo ya kukurupuka, mambo ya kutafuta kiki kwenye makamera siyaoni kama yatapata nafasi utawala huu
 
Kimei tena? Wachaga watajaa hiyo wizara mpaka wafagiaji, hatutaki makabila yenye ubinafsi. Bora hata hiyo wizara atuletee mzenj , watu wastaarab na wasio majizi
Tuacheni kuzungumza ukabila ndugu yangu.. Watanzania tupendane..na kamwe tisianze kutazamana kwa misingi ya kabila,dini rangi au ukanda..hiyo ni mbaya Sana..kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu..Kama unachuki na Kimei au akina Bwashee...wewe baki nazo moyoni mwaka usiziweke hapa..shame upon your face.. Watanzania tumeshaondoka huko kwenye kuzungumza udini, ukabila na ukanda..mtu anachaguliwa kwa misingi ya uwezo wake, uzoefu na taaluma yake..na si vinginevyo.
Mungu akusaidie sana uondokane na roho ya chuki na ubaguzi iliyo ndani yako..
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania
 
Mwigulu ataendelea kukosa mambo mengi sana ambaye pengine angestahili kwa sababu ana propaganda za kitoto sanaaaaa...........Huyu toka Magufuli amefariki amekuwa akiota kuwa anakua MAKAMU WA RAIS ..na hata baadhi ya watu wake wa karibu kawaambia wakiwamo watumishi wa Mungu na habari kunasa mikononi mwa vipenyo ..........
Hizi tabia za kitoto za kutuma chawa wake waje huku kumuuza mtandaoni hazitasaidia ,mwambieni ATULIE .....kama mfumo ukiona anafaaa atapendekezwa mezani .
 

Mwigulu ni muuaji hafai, kama umekula hela yake mrudishie, hii kazi ya kusafisha watu waovu imepita na jiwe.
 
Kimei aliifanya CRDB mali yake na Wachaga wenzake, mwacheni abaki na ubunge wake,kama aliahidiwa uwaziri imekula kwake.
 
Inawezekana Mwigulu anafaa ila binafsi kiongozi anayekesha mitandaoni kujibishana na watu naona hana nidhamu na mwepesi kujikweza.
Muwekeni Mwigulu aibe pesa za kutafuta urais kwenye mawe. Hivi huwa mna muona Mwigulu yuko sawa kichwani kweli?
 
Nikuelewe nini mjinga wewe! Wewe ni Mungu kuamua mimi niende low wewe uende high. Huyo mwenyewe uliekuwa unamuita your highness yupo down low anapambana na mafunza sasaiv!
NDIO MAANA NIKASEMA HUWEZI KUELEWA NILICHOANDIKA, AKILI YAKO NDOGO!
 
Yule hafai hafai
 
Serekali ina hisa pale mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…