Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Kivipi? Kwa viashiria gani.Ila Mpango anaonekana bado mgonjwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi? Kwa viashiria gani.Ila Mpango anaonekana bado mgonjwa.
Nikiangalia jinsi Mh. Rais mama Samia alivyoanza kuunda team yake pia na yeye mwenyewe alivyo kiukweli siioni nafasi ya watu kama Mh. Mwigulu kubaki kwenye baraza la mawaziri.Mwigulu hata kuwa waziri tu hafai, sijui kwanini bado hajatumbuliwa?!
Tuacheni kuzungumza ukabila ndugu yangu.. Watanzania tupendane..na kamwe tisianze kutazamana kwa misingi ya kabila,dini rangi au ukanda..hiyo ni mbaya Sana..kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu..Kama unachuki na Kimei au akina Bwashee...wewe baki nazo moyoni mwaka usiziweke hapa..shame upon your face.. Watanzania tumeshaondoka huko kwenye kuzungumza udini, ukabila na ukanda..mtu anachaguliwa kwa misingi ya uwezo wake, uzoefu na taaluma yake..na si vinginevyo.Kimei tena? Wachaga watajaa hiyo wizara mpaka wafagiaji, hatutaki makabila yenye ubinafsi. Bora hata hiyo wizara atuletee mzenj , watu wastaarab na wasio majizi
Mwigulu ataendelea kukosa mambo mengi sana ambaye pengine angestahili kwa sababu ana propaganda za kitoto sanaaaaa...........Huyu toka Magufuli amefariki amekuwa akiota kuwa anakua MAKAMU WA RAIS ..na hata baadhi ya watu wake wa karibu kawaambia wakiwamo watumishi wa Mungu na habari kunasa mikononi mwa vipenyo ..........Uteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha.
Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa nafasi hiyo ili kumsaidia mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu wa CRDB ambaye aliiongoza vyema Benki hiyo lakini kikawa ni kichaka cha utakatishaji, basi tuendako safari itazidi kuwa ndefu.
Mwigulu Nchemba atafaa zaidi Wizara ya Fedha maana anao uzoefu na weledi katika majukumu hayo kutokana na kufanya kazi Benki Kuu na kisha wizara ya Fedha wakati wa Serikali ya JK.
He is Extremely Desperate Person ...Mwigulu hatufai.
Ni gaidi,katili,muuaji!
Mwigulu ni muongomuongo.
Hafai kuwa kiongozi.
Amechafua mawe yetu na madaraja chi nzima. Tunataka afute huo uchafu wake haraka.
Uteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha.
Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa nafasi hiyo ili kumsaidia mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu wa CRDB ambaye aliiongoza vyema Benki hiyo lakini kikawa ni kichaka cha utakatishaji, basi tuendako safari itazidi kuwa ndefu.
Mwigulu Nchemba atafaa zaidi Wizara ya Fedha maana anao uzoefu na weledi katika majukumu hayo kutokana na kufanya kazi Benki Kuu na kisha wizara ya Fedha wakati wa Serikali ya JK.
Kimei aliifanya CRDB mali yake na Wachaga wenzake, mwacheni abaki na ubunge wake,kama aliahidiwa uwaziri imekula kwake.Uteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha.
Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa nafasi hiyo ili kumsaidia mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu wa CRDB ambaye aliiongoza vyema Benki hiyo lakini kikawa ni kichaka cha utakatishaji, basi tuendako safari itazidi kuwa ndefu.
Mwigulu Nchemba atafaa zaidi Wizara ya Fedha maana anao uzoefu na weledi katika majukumu hayo kutokana na kufanya kazi Benki Kuu na kisha wizara ya Fedha wakati wa Serikali ya JK.
Sasa jina ulotaja hapo ni mbunge?
Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia nini
Wewe ndo unapiga ramli..ulijua mungu wako ataendelea kuwa hai mumuongezee muda wa kutawala. Mungu akamfyekelea mbali
Umeiona hiyo... Utafikiri ni yeye ndiye kajiandikia au kama vile kamtuma mtu.Sawa bwana Mwigulu tumekusikia. Tutaangalia zaidi maadili
Hafai kabisaaaa!!! Ana roho ya kishetani kama ya meko.Wizara ya fedha apewe Daudi Albert Bashite.
Nani CCM we panya mdogoHAYA NENDENI MKALALE NA MAITI TENA SAFARI HII MPATE CHEO HUKO CCM!
Muwekeni Mwigulu aibe pesa za kutafuta urais kwenye mawe. Hivi huwa mna muona Mwigulu yuko sawa kichwani kweli?Inawezekana Mwigulu anafaa ila binafsi kiongozi anayekesha mitandaoni kujibishana na watu naona hana nidhamu na mwepesi kujikweza.
NDIO MAANA NIKASEMA HUWEZI KUELEWA NILICHOANDIKA, AKILI YAKO NDOGO!Nikuelewe nini mjinga wewe! Wewe ni Mungu kuamua mimi niende low wewe uende high. Huyo mwenyewe uliekuwa unamuita your highness yupo down low anapambana na mafunza sasaiv!
Yule hafai hafaiUteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha.
Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa nafasi hiyo ili kumsaidia mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu wa CRDB ambaye aliiongoza vyema Benki hiyo lakini kikawa ni kichaka cha utakatishaji, basi tuendako safari itazidi kuwa ndefu.
Mwigulu Nchemba atafaa zaidi Wizara ya Fedha maana anao uzoefu na weledi katika majukumu hayo kutokana na kufanya kazi Benki Kuu na kisha wizara ya Fedha wakati wa Serikali ya JK.
Izi nafasi Sasa inatakiwa tupewe wanyakyusa mana hawana skendo za kujazana sehemu kama hao wengine wanavyofanya.Kimei ni MKABILA. Hafai. Kajaza Wachaga CRDB
Serekali ina hisa pale mkuuCRDB si ni private entity mkuu? Kimei alistaafu mwenyewe, Nsekela ndio akapigiw kura na Mkutano Mkuu wa wanahisa wa CRDB, hakuteuliwa na Magufuli
Pia Magufuli ndio alimwambia Kimei atampangia kazi baada ya kustaafu kipindi anafungua tawi la benki kule Chato na hata kura za mani za CCM kimei hakushinda ila akateuliwa kugombea, nadhani kama angekuwa mchafu kiasi hicho asingebebwa na Magufuli na wala asingekuwa mbunge
Ndio Chief...hata wa kuteuliwa tuu inatoshaKwani kuwa waziri lazima uwe mbunge?