"Aisha said: During the time of the Prophet (s) two hundred verses ofNataka uniwekee hiyo nukuu inayo taja aya 200.
Hili jambo liko wazi sana na Imamu Suyuto ameliezea pia. Kama ushawahi kusikia ishu ya Msahafu wa Swahaba Ubay Ibn Ka'ab, huo ulikuwa na sura mbili moja iliitwa Khal na Hafd, wengine wanasema hizo hazikuwa sura bali zilikuwa dua ambazo zilikuwa zinasomwa kwenye Qunut na mtume alizifuta kipindi cha uhai wake. Rejea kitabu Al-Itiqaan cha Imamu Suyuti katika mlango wa Nasikh wa al-Mansukh.
Usitafute kichakaHuu ndiyo ujinga wa kuto kusoma. Hicho ni kitabu cha hadithi, ambacho kimekusanya Matni za hadithi, ndiyo katika kuhakiki hizo hadithi utakuta sahihi, hassan na dhaifu.
Katika maelezo ya sherehe za hizo hadithi kulingana na fani ndiyo zinaingizwa katika milango ya nasikh na mansukh kama alivyo fanya Imam Suyuti na wanachuoni wa Qur'aan ndiyo maana hata kwenye ile post yako ya 141 nilikwambia hiyo nukuu haipo kwenye kitabu cha Imamu Suyuti wala kwenye chanzo chochote cha Uislamu.
Kadhalika hili limeongelewa katika vitabu vingine vya hadithi. Rejea katika kitabu hichi an-Nasaa’i in al-Kubra (4/271, 272).
Tatizo lipo kwakoUwe unajibu maswali ninayo kuuliza.
Ubaya upo kwanini ufanye jambo liwe uongo ?
Bado umekazana na hoja ya kufutwa wakati hapa tunajadili verse iliyoliwa na mbuzi?Nimecheka sana wenzako walikuwa wanaandika kwa muda wao ndiyo maana ukisoma hicho hicho kitabu utasikia kuna msahafu wa Ubay Ibn Ka'ab, wapo maswahaba ambao walibaki nazo aya zilizo futwa lakini walikuwa wana zijua kwamba hizi zimefuta mfano ukisia sikia kuna sura mbili kwenye msahafu wa Ubay Ibn Ka'ab ambazo ni al-khal na al-Hafd, hizi zilikuwepo zama za mtume ila zilifutwa na mtume na hazifanyi na wao wanalijua hilo na ndiyo maana walipo kuwa wanauliza na wanafunzi wao walikuwa wanawajibu bioa wasi wasi.
Sawa acha twende hivyoKawaida simba huwa hajibizani na mbwa. Wewe tukana utakavyo weza hapa sikutukani bali nakupa haki yako, ndiyo maana hukuti wala hutanikuta nikimtukana mtu matusi tuliyo yazoea na hizi ni lugha za kielimu mtu kuambiwa mjinga na kweli mjinga hili siyo tusi kijana. Unachotakiwa uangalie namna ya kuuondoa huo ujinga wako.
Nakuonaga unakosoa biblia mara kibao humu, lakini ni lini hiyo ambayo hoja zako zili base kwenye lugha ya asili ya biblia?Kama hujakubaliana tuonyeshe katika kitabu cha asili yako wapi. Kingine hata kusoma Kiarabu hujui unaokoteza okoteza unashindwa kujengea hoja unachokiweka.
Walitumia imani kuamini kuwepo huyo anayeitwa Mungu kwa kutumia sababu na dalili mbalimbali.Kwani hayo makundi mpaka yakaweka madai kua Mungu yupo walitumia uthibitisho kujua au walitumia namna gani?
Kunionesha kua yapo kipengele fulani na wewe kutoa tafsiri tofauti ya nukuu hiyo, ni vitu viwili tofautiSasa wewe sikukuelezea kwamba hayo yapo kwenye kipengele cha nasikh na mansukh kabla ? Na kitabu nikakuwekea ? Sasa kama husomi sisi tunasoma na hili lilikuwa limeisha mapema sana.
Sasa kijana tenga muda wako usome teba usome hasa na jitahidi kama unataka kuwa mtafiti uwe na vitabu vya asili.
Jibu swali nililo kuuliza kwanini hayo maneno yapo kwenye mlango wa "Nasikh na al Mansukh".Nishakujibu maana ya hayo maneno
Nimekupa task uniambie kupitia ile Quote unaweza kuhusianisha hayo maneno kwa namna gani yakaleta tafsiri kuwa ile Quote iluzungumzia verse zilizofutwa?
Kukuonyesha kuwa yapo kwenye kipengele husika ni kuonyesha ya kuwa huo mlango unahusua mapokezi hayo tu, ndiyo maana hizi nukuu zako huzikuti katika vitabu vya asili na nyingine ni dhaifu kwa maana za uongo, sababu zinapingana na uhalisia.Kunionesha kua yapo kipengele fulani na wewe kutoa tafsiri tofauti ya nukuu hiyo, ni vitu viwili tofauti
Kumakinika kwa kuangalia na kumakinika kwa kuelewa ni vitu tofauti
Hiyo hiyo Quote mpaka saizi umeshindwa kui distinguish na hoja ya deleted verse, bado unazidi kukomalia kua nukuu imesema kuhusu verse kufutwa
Nitajie hizo sababu maana mimi sijaziona.Nilikuambia unaimbie uhusiano wa ile Quote na yale maneno kama yana relate yeyote na madai yako kua Quote inazungumzia verse zilizofutwa lakini mpaka sasa hujajibu.
Naachana na hilo na consider kama ni swali lililokuzidi na kuendelea kulisisitiza ni kuzidi kupoteza muda
Narudi kwenye swali lako
Swali la kuuliza hayo maneno yaliandikwa au kufanyika katka kipindi cha mtume yuko au akiwa amefariki linazidi kuoniongezea mashaka juu ya umakini wako wa ile nukuu
Huyu nukuu inazungumzia after collection under Uthman halafu we unakuja kuuliza kama wakati huo Muhammad alikuwepo au lah, huoni kama una expose your laziness?
Swali lako lingine hili hapa chini ni very laughable
"Naomba unionyeshe hiyo nukuu wapi inaonyesha upotevu?"
Nakujibu kwa reference kupitia nukuu hiyo chini yake zilipo orodheshwa sababu ya kuifanya Quran iwe incomplete kwa verse nyingi kushindwa kupatatikana mpaka akawasahihisha kuwa wasiseme wanaijua Quran kwasababu huyo collector vitu vingi hakuweza kuvi retrieve na badala yake alitakiwa kusema nimekusanya kile ambacho kiliweza kupatikana
Ndo maana nilikuuliza kwani kuna milango mingapi?Jibu swali nililo kuuliza kwanini hayo maneno yapo kwenye mlango wa "Nasikh na al Mansukh".
Uhusiano wa hiyo nukuu imewekwa katika mlango husika unao elezea "Nasikh na Mansukh".
What if I say you're complete wrong by referring Miscellanea as the chapter where those words were taken?Kukuonyesha kuwa yapo kwenye kipengele husika ni kuonyesha ya kuwa huo mlango unahusua mapokezi hayo tu, ndiyo maana hizi nukuu zako huzikuti katika vitabu vya asili na nyingine ni dhaifu kwa maana za uongo, sababu zinapingana na uhalisia.
Huwezi kuelewa bila kuangalia na kusoma, tena kurudi kwenye asili.
Naanzia hapa.Huo ushauri umeambiwa na watu ambao ana lengo la kuficha ukweli
Nimesoma origin of Quran na historical evidence ya namna uchakachuzi ulivyokuwa unafanyika, na tamaduni nyingi za kiarabu zenye mitazamo tofauti juu ya hizi habari
Hiyo Quran ya Uthamn collection nikikuambia ni lini ilianza kuwa recognized as official codex sidhani kama utakuwa unajuam, kwasababu vyanzo vyako ni madrasa
Muhammad kafarikia mwaka 632 C.E lakini material ya awali kabisa ambayo tuna posses muda huu yaliandikwa na mtu aliyeitwa Ibn Ishaq mwaka 750 C.E yani kwa tafsiri fupi ni kwamba ni baada ya miaka 120 na upuuzi tangu muhammad afariki.
Mashaka kuhusu authenticity yanazidi kuwa critical zaidi kwasababu historical evidence inaonesha original form aliyoandika Ibn Ishaq ilipotea na vinavyoweza kupatikana ni vipisi tu ambavyo navyo vikaja kuwa revised na mtu aliyeitwa Ibn Hisham baada ya miaka 200 kupita tangu muhammad afe
Haya huwezi kuyakuta madrasa
Miscellanea hii siyo chapter kijana na hii imewekwa na mtarujumi. Chapter ni hiyo "nasikh na mansukh". Nimecheka sana.Ndo maana nilikuuliza kwani kuna milango mingapi?
Nikikuambia hiyo part iko section under Miscellanea utasemaje?
Nimekupa kazi unipe relation ya Quote na hayo maneno na maana ya "Nasikh na Mansukh" unioneshe kuna uhusiano gani unaoleta tafsiri kwenye Quote kuonesha Quote ilizungumzia deleted verse, umeshindwa.
Nakushauri usome kitabu cha asili ili usiandike uongo ambao haupo katika kitabu cha asili.Unakataza kulazimishana halafu hapo hapo unalazimisha nisome kiarabu ambacho mimi sikiwezi unataka nikueleweje?
Hakuna sehemu uliyo weka sababu, hapana hakuna anaye kimbia na kwenye aya ya unayodai hujaweka sababu.Acha ukengeukaji kila kitu nimejibu hapo paragraph ya mwisho
Tafuta namna nyingine ya kukimbia, hii haifai
Maliza kwanza la neno "nothing".nipe tafsiri ya haya maneno fictitious, imaginary, fantasy, fairy tale, mythological halafu unaimbie yanatumikaje kwenye habari