Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

Una maana gani kuniuliza hilo swali?
Nina mana nzuri tu ya kutaka kujua habari za Mungu zimekuwa ziitajwa na kundi lipi ii tujue ni wakina nani tuwafate watupe uthibitisho
 
Angalia post #20

Halafu unambie post #141 umeijibu wapi
Kwanza ngoja nikusaidie hili jambo mimi nilikujibu na nikakupa na kitabu ukasome kuhusu aya zilizo futwa na zilizo futa, ndiyo maana nilipoona unarudia rudia nikaachana na wewe nikafanya mambo mengine.

Tangu mwanzo nilikupa tahadhari juu ya hii mada kwamba ulitakiwa usome vizuri. Sasa iko hivi na ndiyo maana nilikuomba usome kitabu cha asili cha Imamu Suyuti.

Hii sentensi ninayo iweka hapa chini huikuti katika vitabu vya marejeo vya uislamu hata katika kitabu cha Imamu Suyuti mwenyewe :

Ismaa‘eel ibn Ibraaheem told us, from Ayyoob, from Naafi‘, from Ibn ‘Umar who said: No one of you should say: I have learned all of the Qur’an, for how does he know what all of it is? He may have missed many verses of the Qur’an. Rather let him say: We learned what is apparent to us of it.

Bali maneno hayo (hapo juu niliyo yakoleza )kama yalivyo tunayakuta yamesimuliwa na tunayakuta katika Sa‘eed ibn Mansoor katika Tafsiri yake.

Lakini kwa maana ya maneno hayo hayo ni kuwa kuna aya nyingine zilifutwa kipindi ambacho mtume alikuwa hai yaani kipindi ambacho Qur'aan bado inateremshwa ndiyo maana ikawa ya kuwa huwezi kukuta baadhi ya aya na hili lilifanyika kipindi mtume yuko hai.

Ndiyo maana katika mapokezi katika mapokezi sahihi ya Ibn ad-Darrees, ya kuwa "Ilikuwa haipendezi mtu kusema ameisoma Qur'aan yote, sababu kuna aya ziliondoshwa baada ya kushushwa". Masimulizi haya yamesimuliwa na Imam Abu ‘Ubayd al-Qaasim ibn Sallaam,ambaye ameyaweka katika mlango (chapter) alio upa jina "Mlango unao husu yale ambayo yaliondoshwa katika Qur'aan baada ya kushushwa na haya na haya kuandikwa katika Msahafu na Imamu As-Suyuti pia ameyataja haya katika kitabu chake al-Itqaan, katika mlango alio upa jina "Mlango unao husu aya zilizo futwa"

Sasa sababu wewe siyo mtafiti au una njia dhaifu za kufanya utafiti, na mimi huwa nasisitiza kila siku msome kutoka katika vitabu asili, naomba ufanye haya yafuatayo :

1. Tafuta kitabu cha asili cha Imamu Suyuti unionyeshe hayo maneno.

2. Ukisoma hiyo Traslation yako utaona hayo maneno ambayo huyakuti katika kitabu cha asili cha imamu suyuti yapo katika kipengele cha "Nasikh and Mansukh" hiki ni kipegele ambacho tunasomeshwa kinakutajia kwa uwazi zilizo futwa na hili tukio au matukio haya yalifanywa na Mtume mwenyewe. Unajua maana ya maneno hayo ? Kama unayajua kwanini umejenga hoja kwa mambo ambayo yako wazi ? Maana yake wewe unakwapua kwapua.

3. Ile pdf ya mwanzo kuiweka humu imekuwaje haina jina la muandishi ?
 
Argumentum ad ignorantiam

Hakuna uthibitisho uliotoa unao establish uwepo wa Mungu the burden of prove still lays on claimant of positive claim unayedai Mungu yupo

Nime criticize hoja ili wewe uweke uthibitisho unao support madai yako

Kuthibitisha kisichopo kwa kitu ambacho hakijawaki kuwa na uthibitisho ya uwepo wake ni jambo ambalo haliwezekani

Kwasababu uthibitisho, logic na knowledge hushughulika kwa vitu ambavyo vipo, haviwezi kuwa applied kwenye visivyopo.

The non existent is nothing, ila hoja chanya ambayo imetafiriwa kimakosa inaweza kuwa refuted kwaku expose errors kwenye tafsiri ya hoja uliyo propose

Kanusho la namna hiyo ni "disproving of positive" na sio "proving of negative"

Ni makosa na uvunjaji wa logic kwakudai jambao ambalo halijathibitishwa kuwa haliwezekani, kwa hiyo linawezekana.
Kijana acha porojo jibu nilicho kuuliza kwanza.

Kingine hicho ulichokimalizia mwisho unakisema wewe.

Niliwahi kukwambia na kuuliza maswali huko nyuma kwamba kitu kisichokuwepo unakijuaje wakati ni "nothing" ? Kwa maana hiyo hata wewe wazo la kutokuwepo Mola lisingekupitia. Lakini je kisichokuwepo kimetanguliwa na kuwepo kwake au kinyume chake ?
 
Personal attacks za nini?

Bado naamini unaweza ukajenga hoja vizuri bila personal attacks

hoja 2&3 haina maelezo extra kama ambavyo wewe unadai, ili hoja iwe hivyo kama unavyosema ilipaswa iwe na lead na sio conclusion

Sasa hoja ina conclusion, na wewe ulichokielezea ni lead mpaka hapo unakuwa unaelezea kitu kingine tofauti na nilicho kizungumzia mimi
Haya si majibu nilikwambia tangu mwanzo haya ni malalamiko.
 
Angalia post #20

Halafu unambie post #141 umeijibu wapi
Sasa kijana sababu wewe siyo mtafiti nakuwekea cover ya kitabu cha asili cha Imamu Suyuti hicho ambacho umeweka Translation yake hapo post namba 141 ile aya ya mwisho, humu hamna, sasa nakupa kazi umtafute mtu yoyote anaye jua Kiarabu akutafutie hayo maneno, ukiyakuta mimi naacha kutumia hii ID.

images.jpeg

Hizi ni volume mbili.

Huko nyuma nilikuwekea cover ya kitabu hiki, kinachoelezea kipengele cha "Nasikh wa al Mansukh" ambacho pia Imamu Suyuti amekizungumzia ila hayo maneno uliyo yajengea hoja wewe kwenye post namba 141 hayapo wala huyakuti kwenye chanzo kingine cha kuaminika katika Uislamu.

at-tibiyan-fi-bayan-an-nasikh-wal-mansukh-min-al-quran-ibn-khayyat.jpg

Sasa muwe mnasoma vitabu vya asili ili kuepuka kudanganywa kama hivi.
 
Kwanza ngoja nikusaidie hili jambo mimi nilikujibu na nikakupa na kitabu ukasome kuhusu aya zilizo futwa na zilizo futa, ndiyo maana nilipoona unarudia rudia nikaachana na wewe nikafanya mambo mengine.

Tangu mwanzo nilikupa tahadhari juu ya hii mada kwamba ulitakiwa usome vizuri. Sasa iko hivi na ndiyo maana nilikuomba usome kitabu cha asili cha Imamu Suyuti.

Hii sentensi ninayo iweka hapa chini huikuti katika vitabu vya marejeo vya uislamu hata katika kitabu cha Imamu Suyuti mwenyewe :

Ismaa‘eel ibn Ibraaheem told us, from Ayyoob, from Naafi‘, from Ibn ‘Umar who said: No one of you should say: I have learned all of the Qur’an, for how does he know what all of it is? He may have missed many verses of the Qur’an. Rather let him say: We learned what is apparent to us of it.

Bali maneno hayo (hapo juu niliyo yakoleza )kama yalivyo tunayakuta yamesimuliwa na tunayakuta katika Sa‘eed ibn Mansoor katika Tafsiri yake.

Lakini kwa maana ya maneno hayo hayo ni kuwa kuna aya nyingine zilifutwa kipindi ambacho mtume alikuwa hai yaani kipindi ambacho Qur'aan bado inateremshwa ndiyo maana ikawa ya kuwa huwezi kukuta baadhi ya aya na hili lilifanyika kipindi mtume yuko hai.

Ndiyo maana katika mapokezi katika mapokezi sahihi ya Ibn ad-Darrees, ya kuwa "Ilikuwa haipendezi mtu kusema ameisoma Qur'aan yote, sababu kuna aya ziliondoshwa baada ya kushushwa". Masimulizi haya yamesimuliwa na Imam Abu ‘Ubayd al-Qaasim ibn Sallaam,ambaye ameyaweka katika mlango (chapter) alio upa jina "Mlango unao husu yale ambayo yaliondoshwa katika Qur'aan baada ya kushushwa na haya na haya kuandikwa katika Msahafu na Imamu As-Suyuti pia ameyataja haya katika kitabu chake al-Itqaan, katika mlango alio upa jina "Mlango unao husu aya zilizo futwa"

Sasa sababu wewe siyo mtafiti au una njia dhaifu za kufanya utafiti, na mimi huwa nasisitiza kila siku msome kutoka katika vitabu asili, naomba ufanye haya yafuatayo :

1. Tafuta kitabu cha asili cha Imamu Suyuti unionyeshe hayo maneno.

2. Ukisoma hiyo Traslation yako utaona hayo maneno ambayo huyakuti katika kitabu cha asili cha imamu suyuti yapo katika kipengele cha "Nasikh and Mansukh" hiki ni kipegele ambacho tunasomeshwa kinakutajia kwa uwazi zilizo futwa na hili tukio au matukio haya yalifanywa na Mtume mwenyewe. Unajua maana ya maneno hayo ? Kama unayajua kwanini umejenga hoja kwa mambo ambayo yako wazi ? Maana yake wewe unakwapua kwapua.

3. Ile pdf ya mwanzo kuiweka humu imekuwaje haina jina la muandishi ?
Unaniambia nikasome kitabu cha Imam Sayut na wakati mimi ndio niliyekupa hoja uliyokimbia kutoka kwenye moja ya kitabu chake?
1646849881379.png

Hiyo nukuu uliyo bold umeitoa kwenye kitabu gani?

Umeielewa?

Sijajua umeielewaje na sijui kama unaikubali kama ni sahihi au namna gani kwa maana inaonesha flaw kubwa sana kwenye Quran

Inasikitisha kuona unaweka Quote halafu unashindwa kuielewa, nukuu haizungumzii chochote kuhusu kufutwa kwa aya, nukuu inazungumzia aya zilizokosekana kipindi cha ukusanyaji kuifanya Quran itimie

Na ndio maana nikakupa na Quote ya Aisha mke wa muhammad akionesha walakini wa hii Quran kwa madai kwamba katika kipindi cha muhammad part of chapters zilikuwa 200 unaposoma, lakini tangu Uthman aedit zile copy za Quran ambazo ndio zipo mpaka leo zimekuwa 73

As Suyuti amehadithia vizuri sana kuhusu mtu aliyekuwa anaitwa Uba ibn Ka’b ambaye alikuwa ni companion mkubwa wa muhammad

Huyu jamaa alimuuliza moja ya waislamu wa kipindi hicho, kuna verses ngapi kwenye chapter za parties, akajibu kuwa ni verses 73.

Uba ibn Ka’b akamuambia ilipaswa walau iwe sawa na chapter of cow takribani verse 286 ukijumuisha na verse ya "stoning", huyo jamaa akauliza "verse ya stoning ndio ipi hiyo?" Uba ibn Ka’b akamjibu kuwa "endapo kama mwanamke na mwanaume wakizini basi wanapaswa kupigwa mawe hadi kufa"

Zipo version nyingi sana ziki support hayo madai, zipo nukuu za Aisha pia akionesha incomplete of Quran na moja ya verse ambayo ilikuwa lost ni ile verse ya "breast feeding an adult ten times"

Aisha ana dai kuwa hiyo aya ya kumtaka mwanamke amnyonyeshe mwanaume mtu mzima mara kumi ilishushwa na karatasi la hiyo aya alikuwa nayo yeye aliifadhi kwenye chini ya mto wa kitanda. Lakini Muhammad alipokufa kuna mbuzi alikuja kuitafuna ile karatasi naile verse ndo ikawa disappeared mpaka leo
 
Sasa kijana sababu wewe siyo mtafiti nakuwekea cover ya kitabu cha asili cha Imamu Suyuti hicho ambacho umeweka Translation yake hapo post namba 141 ile aya ya mwisho, humu hamna, sasa nakupa kazi umtafute mtu yoyote anaye jua Kiarabu akutafutie hayo maneno, ukiyakuta mimi naacha kutumia hii ID.

View attachment 2144887

Hizi ni volume mbili.

Huko nyuma nilikuwekea cover ya kitabu hiki, kinachoelezea kipengele cha "Nasikh wa al Mansukh" ambacho pia Imamu Suyuti amekizungumzia ila hayo maneno uliyo yajengea hoja wewe kwenye post namba 141 hayapo wala huyakuti kwenye chanzo kingine cha kuaminika katika Uislamu.

View attachment 2144890
Sasa muwe mnasoma vitabu vya asili ili kuepuka kudanganywa kama hivi.
Bado nakuona uko vague

Yani kitabu kutoka lugha halisi unakusudia kimeongezewa maneno ya uwongo ambayo hayapo kwenye kitabu cha tafsiri?
 
Soma nilicho kuandikia post namba 23.
Mi sioni shabaha yako ni nini ku refer post za nyuma kwa madai hazijajibiwa ikiwa hiyo post unayodai haijajibiwa nimei jibu kwenye post #36
 
Haya si majibu nilikwambia tangu mwanzo haya ni malalamiko.
Mstari wa kwanza nilikuwa nakukumbusha kufanya mjadala kwa lugha nzuri

Watu pengine walitegemea kuona atheist ndio angekuwa mstari wa mbele kutoa personal attacts lakini mara nyingi kikombe hiki kinawaangukia nyinyi

The rest baada ya hapo nimejibu hoja na kama unaona kuna hoja haijajibiwa basi utakuwa una matatizo binafsi ya macho
 
Kijana acha porojo jibu nilicho kuuliza kwanza.

Kingine hicho ulichokimalizia mwisho unakisema wewe.

Niliwahi kukwambia na kuuliza maswali huko nyuma kwamba kitu kisichokuwepo unakijuaje wakati ni "nothing" ? Kwa maana hiyo hata wewe wazo la kutokuwepo Mola lisingekupitia. Lakini je kisichokuwepo kimetanguliwa na kuwepo kwake au kinyume chake ?
Kama kisichokuwepo hakiwezekani kutambulika kama nothing, mbona neno nothing lipo?,

linawakilisha nini ikiwa kisichopo hakiwezi hata kufikirika kua hakipo?
 
Unaniambia nikasome kitabu cha Imam Sayut na wakati mimi ndio niliyekupa hoja uliyokimbia kutoka kwenye moja ya kitabu chake?
Kitabu cha Imamu Suyuti tangu naelezea kuhusu Historia ya ukusanywaji wa Qur'aan mimi ndiyo marejeo yangu. Sasa nashangaa unaposema ya kuwa wewe ndiyo uliyenipa hoja wakati umekuja baadae kuleta nukuu ambaye haina marejeo na ukaleta tarjama ambayo maneno hayo hayapo katika kitabu cha asili cha Imamu Suyuti.

Kingine hakuna hoja niliyo ikimbia bali nilikupuuza sababu nilishakwambia hizo habari zinapatikana katika kipengele cha "Nasikh wa al Mansukh". Ajabu ukaweka maneno ambayo mlango wake umeshajieleza ya kuwa hizo habari zipo katika mlango wa "Nasikh wa al Mansukh".
Hiyo nukuu uliyo bold umeitoa kwenye kitabu gani?

Umeielewa?

Sijajua umeielewaje na sijui kama unaikubali kama ni sahihi au namna gani kwa maana inaonesha flaw kubwa sana kwenye Quran
Nimeilewa vizuri sana, na ndiyo maana nimekupa kazi, wewe si umedai hiyo translation ni ya kitabu cha Imamu Suyuti, sasa ukisoma kitabu cha Imamu Suyuti cha asili hukuti hayo maneno ya kwenywe ukurasa wa 13 aya ya mwisho, sasa nakupa kazi utuambie wameyatoa wapi ?

Hiyo si sahihi na yaliyomo katika kitabu cha Imamu Suyuti si hayo, na hayo maneno yanapewa nguvu na mapokezi mengine, yenye maana ambayo ameinukuu Imamu Suyuti na wanazuoni wengine, kwamba kuna aya zilikuwa zinashushwa kisha zinfutwa kwa amri ya Allah.
Inasikitisha kuona unaweka Quote halafu unashindwa kuielewa, nukuu haizungumzii chochote kuhusu kufutwa kwa aya, nukuu inazungumzia aya zilizokosekana kipindi cha ukusanyaji kuifanya Quran itimie
Weww ndiyo husomi ninacho kiandika, hiyo nukuu yako haipo katika vyanzo vyote vya kutegemewa katika Uislamu, hata hicho kitabu cha Imamu Suyuti hiyo nukuu haipo, ndiyo maana nimekupa kazo utafute kitabu cha asili cha Imamu Suyuti cha Al-Itiqaan hukuti hiyo nukuu. Huelewi wapi kijana ?

Sasa sababu wewe hujui, nakuuliza swali la msingi, ukisoma katika hiyo translation yako utaona hayo maneno yapo katika chapter isomekayo "Nasikh and Mansukh" kwanza naomba unipe maana yake na uniambie kwanini hiyo nukuu ipo katika chapter hiyo ? Kama inaongelea aya zilizo kosekana ? Hili lazima ulijibu.
Na ndio maana nikakupa na Quote ya Aisha mke wa muhammad akionesha walakini wa hii Quran kwa madai kwamba katika kipindi cha muhammad part of chapters zilikuwa 200 unaposoma, lakini tangu Uthman aedit zile copy za Quran ambazo ndio zipo mpaka leo zimekuwa 73
Naomba niwekee hiyo quote ambayo ndani kuna hiyo tarakimu 200 kama ilivyo. Kijana wewe husomi okoteza okoteza tu.
Uba ibn Ka’b akamuambia ilipaswa walau iwe sawa na chapter of cow takribani verse 286 ukijumuisha na verse ya "stoning", huyo jamaa akauliza "verse ya stoning ndio ipi hiyo?" Uba ibn Ka’b akamjibu kuwa "endapo kama mwanamke na mwanaume wakizini basi wanapaswa kupigwa mawe hadi kufa"
Hili suala la Ubay bin Ka'ab lina maelezo yake tumalize kwanza na hili la kwenye post namba 141.
As Suyuti amehadithia vizuri sana kuhusu mtu aliyekuwa anaitwa Uba ibn Ka’b ambaye alikuwa ni companion mkubwa wa muhammad
Hoja kwanza hapa ni ile nukuu uliyo dai kwenye aya ya mwisho kwenye post namba 141. Hii ndiyo ulisema sijakujibu tumalize hii kwanza kisha tuje huku.
Huyu jamaa alimuuliza moja ya waislamu wa kipindi hicho, kuna verses ngapi kwenye chapter za parties, akajibu kuwa ni verses 73.

Uba ibn Ka’b akamuambia ilipaswa walau iwe sawa na chapter of cow takribani verse 286 ukijumuisha na verse ya "stoning", huyo jamaa akauliza "verse ya stoning ndio ipi hiyo?" Uba ibn Ka’b akamjibu kuwa "endapo kama mwanamke na mwanaume wakizini basi wanapaswa kupigwa mawe hadi kufa"
Hapa swali nakuuliza hiyo aya haikuwepo tangu lini ? Sababu ukisoma katika mlango wa aya zilizo futwa na hii nilikwambia hapo kabla hizi zilifutwa kipindi mtume yuko hai, na ndiyo maana ukisoma kwenye Qur'aan huikuti hiyo aya ila hukumi yake ipo inafanya kazi. Haya yanafahamila hata kabla ya Qur'aan haijakusanywa soma kipengele hicho kwenye kitabu cha Imamu Suyuti ameelezea haya.
Zipo version nyingi sana ziki support hayo madai, zipo nukuu za Aisha pia akionesha incomplete of Quran na moja ya verse ambayo ilikuwa lost ni ile verse ya "breast feeding an adult ten times"
Swali langu la msingi kwanini hizi habari unazikuta katika mlango (chapter) ya "Nasikh wa al Mansukh" ? Jibu hili swali.
Aisha ana dai kuwa hiyo aya ya kumtaka mwanamke amnyonyeshe mwanaume mtu mzima mara kumi ilishushwa na karatasi la hiyo aya alikuwa nayo yeye aliifadhi kwenye chini ya mto wa kitanda. Lakini Muhammad alipokufa kuna mbuzi alikuja kuitafuna ile karatasi naile verse ndo ikawa disappeared mpaka leo
Swali je maswahaba walikuwa wanaifanyia kazi au la ?
 
Nina mana nzuri tu ya kutaka kujua habari za Mungu zimekuwa ziitajwa na kundi lipi ii tujue ni wakina nani tuwafate watupe uthibitisho
Makundi tofauti tofauti kama makundi ya dini na makundi wasiokuwa na dini.
Sasa mimi ndio nimetaka kujua ni kipi hicho kifanyike ili ndio iwe uthibitisho?
 
Kama kisichokuwepo hakiwezekani kutambulika kama nothing, mbona neno nothing lipo?,

linawakilisha nini ikiwa kisichopo hakiwezi hata kufikirika kua hakipo?
Kilugha lina maana kubwa na linatumika, na kuna wakati hutumika kuelezea au kujibu swali kilicho kuwepo.

Kijana unauliza maswali ya kitoto sana.
 
Mi sioni shabaha yako ni nini ku refer post za nyuma kwa madai hazijajibiwa ikiwa hiyo post unayodai haijajibiwa nimei jibu kwenye post #36
Hujaijibu katika post 36.
 
Bado nakuona uko vague

Yani kitabu kutoka lugha halisi unakusudia kimeongezewa maneno ya uwongo ambayo hayapo kwenye kitabu cha tafsiri?
Haya mambo ya kawaida sana katika elimu, kijana unaonekana mgeni katika haya mambo.

Katika elimu ya hadithi kuna kitu kinaitwa "Takhrij" kuyarudisha maneno au habari kwenye asili yake, katika watu walikuwa wanazusha habari za uongo na kujisabisha nazo ndiyo hapo wakaamua watu kuingia ndani zaidi kufanya utafiti.

Hayo maneno uliyo yaweka huyakuti katika kitabu cha asili cha imamu Suyuti wala kitabu cha Hadithi za mtume zaidi utayakuta katika Tafsiri ya mwanachuoni mmoja, sasa nakuuliza wewe swali imekuwaje tumeyakuta humo na kwenye kitabu cha asili hayamo ?
 
Mstari wa kwanza nilikuwa nakukumbusha kufanya mjadala kwa lugha nzuri

Watu pengine walitegemea kuona atheist ndio angekuwa mstari wa mbele kutoa personal attacts lakini mara nyingi kikombe hiki kinawaangukia nyinyi

The rest baada ya hapo nimejibu hoja na kama unaona kuna hoja haijajibiwa basi utakuwa una matatizo binafsi ya macho
Kijana unapiambiwa kwamba wewe ni mjinga na kweli ni mjinga hiyo ni lugha mbaya ? Huo ni mfano tu.
 
Nikisema watanzania wana imani na uongozi wa samia, ni category ipi kati ya hayo maneno ambayo unaweza ukai refer na kauli hii?
Kwa nini wawe na imani na uongozi wake?
Neno hilo kama ulivyolitumia hapo linatumika kimakosa na wanasiasa.
 
Kitabu cha Imamu Suyuti tangu naelezea kuhusu Historia ya ukusanywaji wa Qur'aan mimi ndiyo marejeo yangu. Sasa nashangaa unaposema ya kuwa wewe ndiyo uliyenipa hoja wakati umekuja baadae kuleta nukuu ambaye haina marejeo na ukaleta tarjama ambayo maneno hayo hayapo katika kitabu cha asili cha Imamu Suyuti.
Mimi ndiye niliyekuwa wakwanza kuleta habari za As Suyuti hapa nikimnukuu kwa moja ya Quote yake inayoonesha uchakachuaji wa Quran, pitia post #16 ambayo ndio post niliyoanza kuku reply utaliona hilo
 
Back
Top Bottom