Ibn Is'haaq alizaliwa mwaka 80H vitabu alivyo andika ni maarufu ni viwili, cha kwanza ni Al-Maghaazi kinachoelezea habari za "Prophet's Millitary Compaigns" na kingine kinaitwa "Siirat an-Nabawiyyah (The History of Prophets) baadae ndiyo kazi na zile zikaja kuandikwa kwa ufupi na Imamu Ibm Hisham na yeye alipata maandiko haya kutoka kwa mwanafunzi wa Imam Muhammad Ibn Is'haaq aliyeitwa Ziyaad kama sikosei.
Je kuanza kwake yeye kuandika inamaana alifanikiwa kuandika habari zote za Mtume na utume wake ? Sababu Ibn is'haaq, sababu Ibn Is'haaq alikuwa mwanachuoni mkubwa na mwenye kuaminika na sifa zake zimetahwa na Imamu Dhahaab na wengine japo wapo baadhi ya wanazuoni wa mtia ila. Almuhimu jambo liko hivyo.
Ili kujua hiyo sio part of chapter kwanza niambie kuna chapter ngapi kwenye hicho kitabu?
Niambie kutoka chapter ya kwanza (ambayo utaitaja kwa jina) mpaka chapter ya nasikh na mansukh ambayo imaenza page ya 49 hapo katikati kuna chapter ngapi
Baada ya hapo uniambie chapter zilizoendelea zilianzia page number ngapi
Halafu uje ueleze kama nasikh and mansukh tafsiri yake ni kufutwa na kuondolewa, niambie mantiki ya kuwepo kipengele cha Miscellanea ni nini kama motive ya chapter ilijikita kuelezea dhana ya kufutwa na kuondolewa?
Naona unanipotezea muda, chapter yaani mlango huwekwa kwa kuzingatia mada pweke.
Kitabu cha asili kina Chapter 80. Chapter ya "Nasikh and Mansukh" ni ya 47 ipo katika ukurasa wa 462. Chapter nyingine zimeanza ukurasa wa 475.
Nakusaida tamko "Nasikh" ni kifuta na "Mansukh" ni kifutwa. Yaani kinacho ondoa na kilicho ondolewa hii ndiyo maana ya maneno hayo, hakuna mambo ya kupotea hapo.
Soma kitabu asili ndiyo kina hukumu.
Hapo nilipo mark kwa rangi ya pink ndiyo unaikuta hiyo chapter ya nasikh na mansukh.
Kwahiyo kijana umekubali kwamba hata maana ya matamko hayo huyajui.
Umekuwa na kawaida ya kuweka madai na kumtaka opponent azi disprove na pale napokuambia kua mwenye kuleta madai positive ndio mwenye jukumu la kuthibitisha umekuwa ukipinga
Sasa Kulingana na hoja yako kua nikuthibitishie hizo tamaduni hata mbili zinazopingana, una onaje tutumie ile njia yako?
Nikisema namimi nitumie mfumo wako, hapa wewe ndiye utakaye takiwa kuthibitisha hizo tamaduni hazipo
Kwa hiyo unasemaje?
Nisubirie uthibitisho wako unao disprove madai yangu au unataka burden of proof ifate mkondo kwa mtu aliyekuja na madai ndiye awe wa kwanza kuthibitisha ili nikuthibitishie?
Una maana gani kuniuliza hilo swali? Nina mana nzuri tu ya kutaka kujua habari za Mungu zimekuwa ziitajwa na kundi lipi ii tujue ni wakina nani tuwafate watupe uthibitisho
Una maana gani kuniuliza hilo swali? Nina mana nzuri tu ya kutaka kujua habari za Mungu zimekuwa ziitajwa na kundi lipi ii tujue ni wakina nani tuwafate watupe uthibitisho
Kingine hakuna hoja niliyo ikimbia bali nilikupuuza sababu nilishakwambia hizo habari zinapatikana katika kipengele cha "Nasikh wa al Mansukh". Ajabu ukaweka maneno ambayo mlango wake umeshajieleza ya kuwa hizo habari zipo katika mlango wa "Nasikh wa al Mansukh". Hukunipuuza, hilo huwezi...
Ngoja kwanza hapo hapo Kumbe unakubaliana kuwa Quran ime miss verse ambazo zilitakiwa kuwepo ila utata uko kwenye idadi sio? Umeomba Quote haya hii hapa Qur'aan haijamiss hata herufi moja achilia mbali aya, nachokubali mimi ni kuwa kuna aya zilifutwa matamshi ila hukumu inafanya kazi kama...
www.jamiiforums.com
Niambie kwa mtiririko huo ni nani aliyeleta hoja ya "nothing" kama swali la kumuuliza opponent?
Bila shaka ni mimi, sasa mimi nimeamua kukubaliana na majibu uliyonipa nataka twende hatua inayofuata ambayo ndio hii
lazima unipe tafsiri ya haya maneno fictitious, imaginary, fantasy, fairy tale, mythological halafu uniambie yanatumikaje kwenye habari
Ona upuuzi wa elimu yenu ya logic, mnaacha kuzingatia hali wezekano wa jambo hilo.
Ibn Is'haaq amezaliwa Mtume ameshafariki kitambo na maswahaba baadhi wameshafariki, na wengine wamehama miji. Vipi angeweza kunukuu habari zote za Mtume ? Na hali ya kuwa Ibn Is'haaq alizaliwa na kufia Madina ?
Yeye aliweza kuandika kile ambacho alikidiriki. Na ndiyo maana wengine walio fata waliandika habari kupitia mapokezi mengine.
Naona unanipotezea muda, chapter yaani mlango huwekwa kwa kuzingatia mada pweke.
Kitabu cha asili kina Chapter 80. Chapter ya "Nasikh and Mansukh" ni ya 47 ipo katika ukurasa wa 462. Chapter nyingine zimeanza ukurasa wa 475.
Nakusaida tamko "Nasikh" ni kifuta na "Mansukh" ni kifutwa. Yaani kinacho ondoa na kilicho ondolewa hii ndiyo maana ya maneno hayo, hakuna mambo ya kupotea hapo.
Hicho kiduara kimezunguka jina la Imamu Muhammad Ibn Is'haaq.
Ulichokiandika wewe hakipo katika hiyo Cover, ya kitabu unacho kiona hapo. Yaani jambo hujui unakomaa aisee, kijana una matatizo ya akili. Nakucheka sana.
Ndiyo maana nimekuwekea katika mfumo ambao wewe ulileta tena kwa usahihi kwamba ni "Ibn Is'haaq" yaani kwa Kiswahili chepesi jina lake linasomeka hivi "Mwana wa Isihaaqa" yaani "Ibn Isihaaka" wewe umetuandika "Ibn Ishaq" hili halipo.
Hapo hakuna haja ya mimi kutafuta Source sababu najua kulisoma hilo jina na limeliandika vile livyo tamkwa na Waarabu ila kwa herufi za Kiswahili au pia Kiingereza.
Leo sikuruhusu ukimbie hoja hii, zipo nitazo kuruhusu lakini sio hii
Kwasababu umekuwa na kawaida ya kuweka Quote za Quran na tunapokuomba uthibitishe ukweli wa hizo verse umekuwa ukigeuza kibao na kutaka sisi ndio tuthibitishe Allah hayupo
Sasa Kulingana na hoja yako kua nikuthibitishie hizo tamaduni hata mbili zinazopingana, una onaje tutumie ile njia yako?
Nikisema namimi nitumie mfumo wako, hapa wewe ndiye utakaye takiwa kuthibitisha hizo tamaduni hazipo
Kwa hiyo unasemaje?
Nisubirie uthibitisho wako unao disprove madai yangu au unataka burden of proof ifate mkondo kwa mtu aliyekuja na madai ndiye awe wa kwanza kuthibitisha ili nikuthibitishie?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.