Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

Zilianzia usd 2 zikashuka mara ya mwisho nimeona screenshot mtu akweka humu ziliku0.98 hivi ila mimi nlipocheki ilikuwa 1.2
Dah asbh niliona usd 1.92 waliouza WANACHEKA loh

Kesho nahisi kuwa zero.zero...
 
Ila wamewatendea watu mambo tofauti na mategemo yao aisee
 

Bitcoin transactions are not anonymized, but rather pseudonymous, as the algorithm uses cryptographic hashing to link transactions in a blockchain, obscuring the true identities of users behind publicly visible addresses.
 
Hatimaye ipo kwa hewa sasa, full kuchekelea. Mimi nilisema hata kama ni uongo acha ni mine tu kikubwa silipii. Leo nawacheka 😁😁😁
Una Pi ngapi mtaalamu?,na Bei ya Pi moja kwa sasa inaendaje?
 
Wewe umeuza ?
Hapana sijauza na wala sina mpango wa kuuza na kuanza kuhangaika kufungua akaunti kuuza coin 50 ambazo mwisho wa siku hata laki haifiki. IOU price ilikuwa imenishawishi ndiyo maana nlianza kuzimine otherwise nisingemine. Ila bado wanaendelea kuuza na nadhani wanaofanya dumping ni waanzilishi wanasepa na really cash watakaonunua wanapaki na coin isiyo na thamani
 
Nimekuuliza wewe umeuza ngapi, na capitalization market ya pi ni ngapi ?
Mkuu nikisema solana inauza haina maana mimi nimeuza. Mimi sijauza na wala sina mpango wa kuuza kwa sababu siwezi pata pesa ya maana. Ila hiyo mitandao niliyokutajia zinauzwa. Kuna dumping huko inaendelea na bila shaka wanaouza ndiyo mafounder soon itasoma 0
 
Mkuu pi ingekuwa mineable basi app yake usingeikuta playstore, pi inachokifanya ni entertainment mining, sio real mining, na inanisikitisha kama kweli wewe ni programmer unasema unamine
l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…