Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

View attachment 3243940

coinmarket cap wana dharau sana, wanaiita SELF REPORTED 🀣 🀣 🀣
Huyo inaenda 0.0000
Watu Huwa wakiambiwa hawaelewi, xHamster nayo imepita na zaidi ya $300M raia walikuwa Hadi wanatoa TON kupata airdrop, bybit nao walihusika kufanya scam lakini hii scam ya pi wamekataa kabisa, afu pi wanamind wanadai bybit waliomba kulist wakakataa wakati wao ndio waliomba.

KYC watu hawaziheshimu, China kuwa wazee wameibiwa pension funds kwenye account zao kupitia pi.



Huyo CEO wa bybit



Hiyo serikali ya china ilikuwa inaonya raia wake kuhusu Pi network.
 
watu wa pi leo hawaonekan sjui wameenda kuvamia GCV
 
kuna video nlikua naskiliza youtube wakawa wnaaanza kukumbushana jinsi ya kuishi maisha mapya baada ya kutajirika, yaaani ni comedy balaaa
 
kuna video nlikua naskiliza youtube wakawa wnaaanza kukumbushana jinsi ya kuishi maisha mapya baada ya kutajirika, yaaani ni comedy balaaa
Lakini fix ni elimu tu, kwasabu licha ya yote TZ tunapenda kutapeliwa na weupe kuliko weusi, nikitulia nitajaribu kuelekeza mambo ya msingi ili anaetapelika atapeliwe tu, mana watu hawaheshimu KYC , na wahuni wanaziuza Kwa bei kubwa,android na iOs wanavyo ongeza security ndio vitu kama pi vinaibuka
 
sio kwamba hawakuambiwa walikaza fuvu tu
 

Mbona nasikia wanalalamika wame hakiwa na kupigwa hela ya maana sana hao bybit..ni kweli?
 

Attachments

  • IMG-20250221-WA0010.jpg
    123.2 KB · Views: 2
Sasa km lengo lilikuwa kutengeneza ads views wasepe, walikuwa na haja gani kufanya mpk KYB kwa Exchanges?? C wangeruhusu tu exchanges zote waruke nayo waende na upepo mpk utakapokata
 
ni kubaki na 314,159$ hii ni Utility token ngoja tusubiri hizo Apps zao na makampuni yafanye intergration !haiwezekani jamaa wapate international certificate recognitions na watu wa mataifa mbali mbali ulimwenguni wapambanie GCV ya 314k$.
 
ni kubaki na 314,159$ hii ni Utility token ngoja tusubiri hizo Apps zao na makampuni yafanye intergration !haiwezekani jamaa wapate international certificate recognitions na watu wa mataifa mbali mbali ulimwenguni wapambanie GCV ya 314k$.
Sijui kwanini holder wa hii coin wengi ni watu wa vietnam, phillipines, thailand india na nigeria ambao mostly ndiyo huwa victims wa ponze schemes...
Hata channel nyingi za youtube za coin hii waendeshaji wake ni watu wa huko.
Shida ni pale tulipoamini kuwa itaipiku thamani bitcoin.
Ninazo 50 nilikuwa nimeshapanga nikanunua apartment pale royal village. Sasa nimeshtuka niko mapinga hapa sijaamini kabisa.
 
ngoja tusikilizie wakileta hizo Apps zilizokua zinatengenezwa kipindi kile cha Hackathon! mimi hainiingii akilini kuwa zile movements na progress zote iwe bure? hapana!

watu wawe wavumilivu unakumbuka kipindi kile ma exchange mbali mbali yaliweka Pi kwa bei ya IOU , Akina Huobi, XT e.tc ngoma inaenda mpaka ma Laki huko kwa Pi, Hype ilikua kubwa sana!

Hawa akina Nico sio wajinga.. Trust Me hii inakwenda ku prove watu Wrong!

Wale wa Kiroho wameshachungulia Pi kuwa inakwenda kubadilisha maisha yao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…