Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahio kwenye group pale maskini kabisa ana bil 12
100b ni max supply sio total supply, na circulating supply ni self reported in pi ina circulating supply ya 0.
walifanya uzinduzi jana city garden, MC anasema msalimie bilionea pembenMasikini sana ana milioni 30. Yani huyo ndio atakuwa anajilaumu kwa asilimia 99.999 kwamba kwanini hkuijua PI mapema 😁😁😁😁😁
Huyo inaenda 0.0000
watu wa pi leo hawaonekan sjui wameenda kuvamia GCVHuyo inaenda 0.0000
Watu Huwa wakiambiwa hawaelewi, xHamster nayo imepita na zaidi ya $300M raia walikuwa Hadi wanatoa TON kupata airdrop, bybit nao walihusika kufanya scam lakini hii scam ya pi wamekataa kabisa, afu pi wanamind wanadai bybit waliomba kulist wakakataa wakati wao ndio waliomba.
KYC watu hawaziheshimu, China kuwa wazee wameibiwa pension funds kwenye account zao kupitia pi.
View attachment 3243973
Huyo CEO wa bybit
View attachment 3243978
Hiyo serikali ya china ilikuwa inaonya raia wake kuhusu Pi network.
kuna video nlikua naskiliza youtube wakawa wnaaanza kukumbushana jinsi ya kuishi maisha mapya baada ya kutajirika, yaaani ni comedy balaaaHuyo inaenda 0.0000
Watu Huwa wakiambiwa hawaelewi, xHamster nayo imepita na zaidi ya $300M raia walikuwa Hadi wanatoa TON kupata airdrop, bybit nao walihusika kufanya scam lakini hii scam ya pi wamekataa kabisa, afu pi wanamind wanadai bybit waliomba kulist wakakataa wakati wao ndio waliomba.
KYC watu hawaziheshimu, China kuwa wazee wameibiwa pension funds kwenye account zao kupitia pi.
View attachment 3243973
Huyo CEO wa bybit
View attachment 3243978
Hiyo serikali ya china ilikuwa inaonya raia wake kuhusu Pi network.
😁😁😁😁😁😁😁😁walifanya uzinduzi jana city garden, MC anasema msalimie bilionea pemben
mpaka mda huu hawaamini kilichotokea😁😁😁😁😁😁😁😁
Lakini fix ni elimu tu, kwasabu licha ya yote TZ tunapenda kutapeliwa na weupe kuliko weusi, nikitulia nitajaribu kuelekeza mambo ya msingi ili anaetapelika atapeliwe tu, mana watu hawaheshimu KYC , na wahuni wanaziuza Kwa bei kubwa,android na iOs wanavyo ongeza security ndio vitu kama pi vinaibukakuna video nlikua naskiliza youtube wakawa wnaaanza kukumbushana jinsi ya kuishi maisha mapya baada ya kutajirika, yaaani ni comedy balaaa
sio kwamba hawakuambiwa walikaza fuvu tuLakini fix ni elimu tu, kwasabu licha ya yote TZ tunapenda kutapeliwa na weupe kuliko weusi, nikitulia nitajaribu kuelekeza mambo ya msingi ili anaetapelika atapeliwe tu, mana watu hawaheshimu KYC , na wahuni wanaziuza Kwa bei kubwa,android na iOs wanavyo ongeza security ndio vitu kama pi vinaibuka
Huyo inaenda 0.0000
Watu Huwa wakiambiwa hawaelewi, xHamster nayo imepita na zaidi ya $300M raia walikuwa Hadi wanatoa TON kupata airdrop, bybit nao walihusika kufanya scam lakini hii scam ya pi wamekataa kabisa, afu pi wanamind wanadai bybit waliomba kulist wakakataa wakati wao ndio waliomba.
KYC watu hawaziheshimu, China kuwa wazee wameibiwa pension funds kwenye account zao kupitia pi.
View attachment 3243973
Huyo CEO wa bybit
View attachment 3243978
Hiyo serikali ya china ilikuwa inaonya raia wake kuhusu Pi network.mbona
Mbona nasikia wanalalamika wame hakiwa na kupigwa hela ya maana sana hao bybit..ni kweli?Huyo inaenda 0.0000
Watu Huwa wakiambiwa hawaelewi, xHamster nayo imepita na zaidi ya $300M raia walikuwa Hadi wanatoa TON kupata airdrop, bybit nao walihusika kufanya scam lakini hii scam ya pi wamekataa kabisa, afu pi wanamind wanadai bybit waliomba kulist wakakataa wakati wao ndio waliomba.
KYC watu hawaziheshimu, China kuwa wazee wameibiwa pension funds kwenye account zao kupitia pi.
View attachment 3243973
Huyo CEO wa bybit
View attachment 3243978
Hiyo serikali ya china ilikuwa inaonya raia wake kuhusu Pi network.
Sasa km lengo lilikuwa kutengeneza ads views wasepe, walikuwa na haja gani kufanya mpk KYB kwa Exchanges?? C wangeruhusu tu exchanges zote waruke nayo waende na upepo mpk utakapokataMkuu ukisoma white paper yao ililenga kila mtu aweze kuaccess hiyo crypto kwa kutokuhitaji kuwa na power intensive mining rigs. Tafsiri yao ya mining ni kuwa sehemu ya network na kuufanya uaminike maana thamani ya pi kwa maelezo yao itategemea kutumia na watu wengi.
Lakini bado mimi naamini hawa watu hawakuwa na lengo la kutengeneza coin and it was a scam from the beginning. Hawa walikuwa wanatafuta ad views sasa wakaja na wazo hili. Imagine walikuwa wanapata views zaidi ya milion 10 kwa siku.
Na nadhan there was no coin at all na ndiyo maana uzinduzi wake umehairishwa mara kadhaa. Ila nadhani baada ya kupata base kubwa wakaona wanaweza kutengeneza coin. Na kumbuka wao wana 20% ya hizo coin na wameipa hype zimekaa ka ponze scheme na kila kitu so ikiingia kwa soko wakadump hizo coin zao bado watakuwa wametengeneza pesa kibao.
Marketing yao imekaa kiponze scheme kuanzia eti pioneers, invites, wahusika wengi ni nchi za asia na africa ambazo mara zote ndo victims wa ponze scheme.
Jana nmeona eti tangazo nlijua tu la uongo kuwa byd wameuza gari 100 kwa kulipwa pi 1 kwa kila gari.
😄😄😄😄 Kasongo mbona wewoookwahio kwenye group pale maskini kabisa ana bil 12
mbona wewooooooooooooooooooooooooooooooo😄😄😄😄 Kasongo mbona wewooo
ni kubaki na 314,159$ hii ni Utility token ngoja tusubiri hizo Apps zao na makampuni yafanye intergration !haiwezekani jamaa wapate international certificate recognitions na watu wa mataifa mbali mbali ulimwenguni wapambanie GCV ya 314k$.Mrejesho
Sijui kwanini holder wa hii coin wengi ni watu wa vietnam, phillipines, thailand india na nigeria ambao mostly ndiyo huwa victims wa ponze schemes...ni kubaki na 314,159$ hii ni Utility token ngoja tusubiri hizo Apps zao na makampuni yafanye intergration !haiwezekani jamaa wapate international certificate recognitions na watu wa mataifa mbali mbali ulimwenguni wapambanie GCV ya 314k$.
ngoja tusikilizie wakileta hizo Apps zilizokua zinatengenezwa kipindi kile cha Hackathon! mimi hainiingii akilini kuwa zile movements na progress zote iwe bure? hapana!Sijui kwanini holder wa hii coin wengi ni watu wa vietnam, phillipines, thailand india na nigeria ambao mostly ndiyo huwa victims wa ponze schemes...
Hata channel nyingi za youtube za coin hii waendeshaji wake ni watu wa huko.
Shida ni pale tulipoamini kuwa itaipiku thamani bitcoin.
Ninazo 50 nilikuwa nimeshapanga nikanunua apartment pale royal village. Sasa nimeshtuka niko mapinga hapa sijaamini kabisa.