Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

😂 hebu tu

😂Hebu tupumzishe kidogo mapioner tunajipanga kuanzisha kijiji chetu chenye kila huduma.
kama bilionea unaonaje ukawanunulia kila timu uwanja wake ili tuachane na izi shida za kunyimwa kufannya mazoezi
 
Ebanaee kikweli siwazii hlo maana kama kwamfano simba tulikua tunadanganywa kama. Kuna mo arena yanga wakat wa manji wakadanganywaa.hv vilabu vpo kisiasa syo vya kuvisaaidia bora kina mashujaaa na wenzao. Ila ukijenga sasa umeweka jukwaa la watu kuja kuanza kutangaza siasa nasiyo tenaa burudan yasoka ambalo huwa halina kabila halina din halina rangi wala chama.wanasiasa wakiona mafanikio kdogo watajazana.sye ma bilionea wa Pi tutqjenga hosptal shule misikiti na makanisa 😂😂😂
 
makofi mengi kwa bilionea tafadhali
 
1741545248351.png

hali sio hali uku
 
kama bilionea unaonaje ukawanunulia kila timu uwanja wake ili tuachane na izi shida za kunyimwa kufannya mazoezi
Ebanaee kukweli siwazii hlo maana kama kwamfano simba tulikua tunadanganywa kama. Kuna mo arena yanga wakat wa manji wakadanganywaa.hv vilabu vpo kisiasa syo vya kuvisaaidia bora kina mashujaaa na wenzao. Ila ukijenga sasa umeweka jukwaa la watu kuja kuanza kutangaza siasa nasiyo tenaa burudan yasoka ambalo huwa halina kabila halina din halina rangi.
Tupo pamoja na Pi mpaka ituuwe 💪
 
1741599216722.png

Pi mane mane PI
 
Back
Top Bottom