Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
- Thread starter
-
- #61
We uoni ajali za kizembe nyingi.Mafunzo ya udereva unayaacha ukipata leseni?
Kumbe wamekutana wote kujifanya wajanja maana dem kweli anaonekana slay qn tattoo kibaoJamaa Nae Mtu Wa mademu na demu Nae Mtu Wa kuchapwa Sana so Mshikaji wivu mwingi Kwa manzi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kweli bruhWe uoni ajali za kizembe nyingi.
Makahaba na michepuko pekee ndio wanawake wanaozingatia mafunzo ya ndoa na kuyatumia kupora wanaume za watu.
Mwanamke akishapata cheti cha ndoa na watoto kinachofuata ni bidii ya kuibomoa ndoa.
Unajua mkuu wanawake huwa anakubadilisha kuua kwa majibu yake huenda jamaa alimkamata na sms za kuchepuka ila majibu yake ndo jamaa akapandisha moliMwanamke achepuke ndio nimuue si namwacha aende kwao hawa watu wanaoua wanawekewa dawa nini mbona haingii akilini kabisa kuua kwa sababu ya pwechele...au wanakua wamerogwa na watu wasiowatakia ndoa njema kwa akili ya kawaida hawa wadogo hawawezi kuwa na maamuzi mazito hivyo huku wakiwa na watoto..
Kumbe demu kimeo hayo matatoo
Masanja anatajwa sana humu,nini kimemkuta?safi sana, dawa ya msaliti ndiyo hiyo
Masanja unakwama wapi ?
Kwa nini sasa urudi na ulishiamua kuondoka? Cha muhimu tuma tu matumiziMfano ukirudi ukakuta njemba kwenye hiyo nyumba haitakuuma?
Huyu mwanaume boya sana , kwanza hawa watoto kwa haraka haraka hawahitaji DNA ...punguani mkubwa Nyokochinyoko😡 watoto watalelewa na nani?Wakuu kuna habari mbaya Huko Tabata-Dar Es Salaam.
Anasimulia Ndugu wa Marehemu.
Piariz Charles Hizza ni mdogo wangu, alikuwaga humu Friends of Solo Mnamunga kipindi fulani simu yake ilipopata matatizo akatoka sikukumbuka kumrudisha tena.
Leo mida ya mchana nikapokea simu nikaambiwa dogo amejinyonga chumbani kwake, anaishi Tabata.
Lakini, polisi wakafika na wakachukua mwili na wakamchukua na mume wake mpaka staki shari.
Uchunguzi wa awali ukaonyesha Piariz amepigwa probably na mumewe labda na akaamua kumnyonga na kutudanganya amejinyonga ili kutupoteza maboya.
Tumekuta mwili ukiwa hauna nguo sakafuni zaidi ya kufunikwa shuka na una majeraha ya kipigo na ametoboka shingon.
Mumewe anasema amejinyonga kwenye feni, lakini kwa unene wa Piarizi hawez panda akakuta feni ajiue wakati mumewe kalala humo humo chumbani asijue
Dada wa kazi anasema ilipofika saa 1 au 2 akasikia wanagombana chumbani,kufika saa 3 akasikia kimya.
Kufika saa nne mume akatoka chumbani anali anamwambia dada yako amejinyonga..akaingia akakuta mwili sakafuni na watoto wakiwa wanalia. Solo
Masanja anatajwa sana humu,nini kimemkuta?
Nipe link mkuu if possible
Huko Japan mwenzako star huyo mwenye jina lake.Hilo jina sikushauri.
🤭Ana tattoo 😔
Inawezekana mme alichepuka au alisingiziwa kuchepuka.Inawezekana mama alichepuka
Hilo ni jina la mji mmoja huko JapanHilo jina sikushauri.
Hiki nini siku hizi,yaani utamu wa kati ndio unaleta balaa kiasi hiki??Wakuu kuna habari mbaya Huko Tabata-Dar Es Salaam.