Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

safi sana, dawa ya msaliti ndiyo hiyo

Masanja unakwama wapi ?
Kwani umefungwa kamba, ukiona mtu ni msaliti chapa lapa ukaanze upya kuliko kujitia laana ya kuua. Pia hao watoto watanyanyasika maana bafo wadogo

Wanaume sijui mnakwama wapi mnashindwa kufanya maamuzi magumu. Mtu akikusaliti wewe achana nae kaendelee na mambo mengine
 
Uko sahihi sana Kalunya, matatizo mengi sisi wenyewe wanajamii ndiyo tunayatengeneza,its a never ending cycle, vizazi vyetu vitateketea tukiendelea kuishi ndani ya uovu, so tubadilishe kutokujali kwetu tuwe watu wenye kujali.
Mungu utusamehe sisi🙏🙏🙏turehemu Bwana aikate hii laana isiendelee kututafuna.
Yaani nimeumia kweli ukiwaangalia hao watoto, halafu ana wakubwa pia wote wanaubeba msalaba wa wazazi God😭😭
 
Ila wakuu shida ya wanawake kama unagombana nae au kuna kutokuelewana ndani hawa viumbe wanaongea haswa tena lugha chafu kama uwezi kujizuia hasira unaweza upige hadi uuwe kama huna moyo wa kuvumilia, nadhan ndo kilichomkuta jamaa😔😔
Mkuu haya tunakutana nayo sana kweneye ndoa zetu. Yaani kuna wakati unaamua utoke na urudi usiku hasira zikiwa zimepoa. Kuna wakati wanatia hasira kwelikweli na haya madawati ya jinsia ukienda unaona kabisa mwanamke anapendelewa hata kama ana makosa yeye. Wengine wakifika pale wanalia balaa na uongo mwingi kwelikweli. Unazuia hasira na kwa sisi wa ngumu kumeza unageuza pub kuwa sebule yako baada ya muda wa kazi.
 
Majirani zangu hapa Tabata segerea Hawa,inasikitisha sana aisee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…