Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Una pepo la jela[emoji28][emoji28]joke[emoji38] kwahiyo weupe sio wa kawaida...mbona mi nazikubali zaidi pisi nyeusi ila ndio sina bahati nazo...napataga weupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una pepo la jela[emoji28][emoji28]joke[emoji38] kwahiyo weupe sio wa kawaida...mbona mi nazikubali zaidi pisi nyeusi ila ndio sina bahati nazo...napataga weupe
Kuendelea kumuona hasira zitawaka unajiondikea tu, ajira na mengine utapata uendakoWatu wengine sijui bado ni kula kulala? Unawaza kuondoka kwenda huko mbali kwa nani?
Yaani uache mali zako zote na kazi uende mbali halafu undelete kutunza familia?
Kwa kipato gani sasa? Duh akili hizi.
Sema muachane kila mtu aishi maisha yake siyo kumuua.
Umeona mbalihapa tstizo ni serikali niulize kwanini? lazima serikali woke sheria kali kwa mtu kutembea na mke wa mtu au mume wa mtu hata watu wanandoa kujamiana kuwepo na adhabu kali za hapo.kwa papo huu upuuzi utaisha.
Ukifumaniwa live na Mke WA MTU unapigwa life sentence hapo mambo yatapungua.hapa tstizo ni serikali niulize kwanini? lazima serikali woke sheria kali kwa mtu kutembea na mke wa mtu au mume wa mtu hata watu wanandoa kujamiana kuwepo na adhabu kali za hapo.kwa papo huu upuuzi utaisha.
Hakuna namna mkuu, nadhani nimejaribu kurekebisha makosa yote yaliyotokea bila kuleta madhara kwa yeyote.Ulioa bomu , pole sana.
Mkuu inakuwa ni changamoto kweli kweli. Nikisoma matukio ya wanandoa kudhuriana, huwa nakaa kimya nikikumbuka yote niliyopitia. Niliingia kwenye addiction ya ngumu kumeza na ikakaribia kunipoteza kabisa, lakini inawezekana iliniondelea jangga lingine la kutoa roho ya mtu. Sasa maisha yanasonga salama kabisa, muda ndio unakimbia kwa kasi tu.Pole sana mkuu..I feel your pains,baadhi ya wanawake ni pasua kichwa.
Inafikia hatua unajiuliza hivi anatumia akili zake kufanya haya au karogwa!
Kila mwenye ndoa anatakiwa aiheshimu ndoa yako. Kwani kuna mwanamme anakulazimisha kuwa naye au tamaa tu. Tujifunze kusema hapana na kukaa mbali na watu wanaorishawishi kusaliti ndoa zetu. Eti wanaume acheni kutembea na wake za watu, ukijirahisisha wanapita na wewe tu. Tamaa haijawahi kumuacha mtu salama.Umenena vema mkuu
Usipooa utaolewaNioe?
Kataa NdoaNioe?
Kuna report ya utafiti nimeisoma leo tana JF, kuwa wa Tz 7m wana ugonjwa wa akili.nachokijua ambacho serikali bado haitaki kutoa tamko ni kwamba tz kuna asilimia 40 ya watu wana ukichaa/ uchizi/depression/ umental inayowatafuna kutokana na namna ambavyo maisha yamekuwa na hawakutarajia, tunao hawa watu tupanda nao daladala, tunafanya nao kazi etc etc.na hiki kinachokumbwa ni kizazi cha mwaka 88 kuja 92, bila kufahamu mzizi wa changamoto hizi zinazotakana na ubovu wa malezi ya awali, kushindwa kuendana na mabadiliko ya kichumi, kuvamia ndoa bila kuwa na mafunzo basi tumepotea kama taifa. maisha sio lelemama, ndoa sio lelema, tuombee taifa na vijana dhidi ya mental cases.
Biblia inasema Mshahara wa dhambi ni Mauti. Mungu ndie ajuwaye yote. Hakuna kifo kinatokea kwa bahati mbaya ipo sababu sisi sote hatuijuwi ila Mungu peke yake.Wakuu kuna habari mbaya Huko Tabata-Dar Es Salaam.
Anasimulia Ndugu wa Marehemu.
Piariz Charles Hizza ni mdogo wangu, alikuwaga humu Friends of Solo Mnamunga kipindi fulani simu yake ilipopata matatizo akatoka sikukumbuka kumrudisha tena.
Leo mida ya mchana nikapokea simu nikaambiwa dogo amejinyonga chumbani kwake, anaishi Tabata.
Lakini, polisi wakafika na wakachukua mwili na wakamchukua na mume wake mpaka staki shari.
Uchunguzi wa awali ukaonyesha Piariz amepigwa probably na mumewe labda na akaamua kumnyonga na kutudanganya amejinyonga ili kutupoteza maboya.
Tumekuta mwili ukiwa hauna nguo sakafuni zaidi ya kufunikwa shuka na una majeraha ya kipigo na ametoboka shingon.
Mumewe anasema amejinyonga kwenye feni, lakini kwa unene wa Piarizi hawez panda akakuta feni ajiue wakati mumewe kalala humo humo chumbani asijue
Dada wa kazi anasema ilipofika saa 1 au 2 akasikia wanagombana chumbani,kufika saa 3 akasikia kimya.
Kufika saa nne mume akatoka chumbani anali anamwambia dada yako amejinyonga..akaingia akakuta mwili sakafuni na watoto wakiwa wanalia. Solo
Sheria kali za nini? Mtu mzima na akili yako uwekewe sheria. Ukiona huwezi kuwa muaminifu kaa mbali na ndoa. Yaani mwizi ambaye anaiba afungwe miaka 2-15 halafu watu waliokubal8ana kwa hiyari yao mmojawapo afungwe miaka 30. Huu ni ujinga.Serikali itafanyaje? Labda waweke sheria kali ukimla mke wa mtu ukafumwa jela miaka 3O huenda ikasaidia.
Kwa sasa wake zetu wako vulnerable halafu wakiliwa aliyekula anaonekana kama mwamba kisheria sababu hamna vifungu vinavyolenga kumletea mume relief.
Mabloo zetu huwa mnaoa Malaya tukiwaambia mnatufokeaYawezekana kabisa mkuu, alafu wengine wamekuwa wezi kuliko hata hawa wanawake tunaokutana nao mitaani. Yaani mpaka unawaza kama kweli mlioana kwa nia ya kujenga familia au la. Yaani asione pesa mbele yake, unaweka mitego na unamnasa anakwambia nimechukua kidogo tu nilikuwa na shida nayo, na hapo umetoka kumpa hela na biashara umemfungulia.
Nimewahi kushangaa diku moja askari wananifuata kitaa, naambiwa natakiwa kituoni, kufika nawekwa selo hadi kesho yake mchana. Nawauliza kosa ni nini na kwa nini niko hapa, naambiwa utajua kesho. Inafika keho yake mchana wife kafika, napelekwa dawati la jinsia, na shauri linasikilizwa. Naambiwa siuudumii familia, napigwa na butwaa, na mshangao kabisa, anadai anataka ATM kadi yangu,nakumbuka niliwahi kumwachia kadi hiyo nikiwa masomoni nje kwa takribani miaka miwili na nikakuta hakuna hata balance. Usafiri nimemnunulia, mafuta naweka mimi, watoto shule wanasoma nzuri kabisa. yeye mwenyewe nimempeleka shule na ajira nimemtafutia, ameacha ajira anataka bishara. Biashara imemshinda kutwa ni kubadilisha nguo na style za nywele. Natoka selo mchana wa saa nane, napokea simu toka kwa HR, ananambia brother nini tena kimetokea! Mkeo kaja hapa anataka mgawane mshahara 50/50, Naona huyu sasa ana mental kesi au karogwa.
Nikaamua kuondoka nianze maisha mapya, mzee wangu mmoja akanishauri nisiondoke. Akasema kata mirija yote ya pesa na adabu itarudi, kukimbia familia ni laana kwa mila zetu. Nikakata mirija, biashara imecolapse, gari mafuta na hata aservice hakuna. Familia natoa mahitaji yote ya muhimu, ngumu kumeza nikapunguza kabisa. Kwa sasa adabu inarudi na sitorudi nyuma.
Kuna baadhi ya wanawake ni pasua kichwa kwelikweli. unamwambia ondoka ukapumzike kwenu anagoma. Mama mkwe anatetea binti yake balaa. Nayakumbuka maneno ya mama, miaka takribani 17 nyuma, akinikanya kuwa huyu unayemuoa atakusumbua. Nabaki kukumbuka na kusikitika sana.
Tatizo kubwa ni kukosa busara. Huwezi kutoleana matusi au maneno ya kukera kwa kwa binadamu mwenzako hata iweje. Ukiwa na hekma hata mtu akuuzi vipi huwezi kumtolea mameno ya machafu. Nilipitia ndoa ngumu kwa miaka 5, na kisa changu niliandika humu. Sikuwahi kumtukana yule mwanaume, niliamua kuondoka ili kupisha shari. Tujifunze kuheshimiana , kuwa waaminifu na kila mmoja aheshimu mipaka yake.Wanawake midomo, midomo,midomo na tuna kauli tata mnoo,zinakeraa na zinaumiza mnoo baasi tu!,afu kutukana Mwanaume ni kumdhalilisha mnoo uanaume wake ndo tunapopigwa hapo afu mbele ya watoto
Soma alama za nyakatiKiufupi, ilinitoa kwenye reli ya kimaisha kwa miaka kadhaa. Kuna fursa nilizipata, nikazitumia vibaya kwa kumuamini mtu ninayeishi naye. Wapo wake za washikaji zangu wanajitambua sana. Mpaka nawaza, huyu angekuwa mke wangu ningekuwa mbali mara kumi ya hapa nilipo.
Ila mkuu, naweza kumlaumu wife kwa kiasi fulani, ila na mimi mwanzoni nilichangia yeye kubadilika tabia na attitude yake. Nilimuoa tayari nikiwa mkubwa kwenye taasisi fulani kubwa tu, alikuwa very humble na asiye na makuu. Na nilimpa ujauzito tukiwa kwenye mahusiano, akiwa mwaka wa kwanza chuo fulani. Hilo lilinifanya nijione nina deni kubwa sana kwake, na nikaamua kumtreat kwa namna ya kipekee. Nilimrudisha shule na hakuna alichokuwa anakosa. Hili lilimfanya abweteke sana na kuona maisha ni mteremko sana.
Ndio muone wazazi wanaona mbele zaidi yetu. Mzazi akikupa warning tu ujue kuna jambo. Kaka yangu naye aliambiwaga na mama kuwa huyu unayetaka kumuoa sio, akaona mama naye , kilichompata hatakisahau mpake leo. Karudi hadi kijijini kuanza maisha upya kisa mwanamkeYawezekana kabisa mkuu, alafu wengine wamekuwa wezi kuliko hata hawa wanawake tunaokutana nao mitaani. Yaani mpaka unawaza kama kweli mlioana kwa nia ya kujenga familia au la. Yaani asione pesa mbele yake, unaweka mitego na unamnasa anakwambia nimechukua kidogo tu nilikuwa na shida nayo, na hapo umetoka kumpa hela na biashara umemfungulia.
Nimewahi kushangaa diku moja askari wananifuata kitaa, naambiwa natakiwa kituoni, kufika nawekwa selo hadi kesho yake mchana. Nawauliza kosa ni nini na kwa nini niko hapa, naambiwa utajua kesho. Inafika keho yake mchana wife kafika, napelekwa dawati la jinsia, na shauri linasikilizwa. Naambiwa siuudumii familia, napigwa na butwaa, na mshangao kabisa, anadai anataka ATM kadi yangu,nakumbuka niliwahi kumwachia kadi hiyo nikiwa masomoni nje kwa takribani miaka miwili na nikakuta hakuna hata balance. Usafiri nimemnunulia, mafuta naweka mimi, watoto shule wanasoma nzuri kabisa. yeye mwenyewe nimempeleka shule na ajira nimemtafutia, ameacha ajira anataka bishara. Biashara imemshinda kutwa ni kubadilisha nguo na style za nywele. Natoka selo mchana wa saa nane, napokea simu toka kwa HR, ananambia brother nini tena kimetokea! Mkeo kaja hapa anataka mgawane mshahara 50/50, Naona huyu sasa ana mental kesi au karogwa.
Nikaamua kuondoka nianze maisha mapya, mzee wangu mmoja akanishauri nisiondoke. Akasema kata mirija yote ya pesa na adabu itarudi, kukimbia familia ni laana kwa mila zetu. Nikakata mirija, biashara imecolapse, gari mafuta na hata aservice hakuna. Familia natoa mahitaji yote ya muhimu, ngumu kumeza nikapunguza kabisa. Kwa sasa adabu inarudi na sitorudi nyuma.
Kuna baadhi ya wanawake ni pasua kichwa kwelikweli. unamwambia ondoka ukapumzike kwenu anagoma. Mama mkwe anatetea binti yake balaa. Nayakumbuka maneno ya mama, miaka takribani 17 nyuma, akinikanya kuwa huyu unayemuoa atakusumbua. Nabaki kukumbuka na kusikitika sana.
Kuna ndugu Yangu ana mke na watoto watatu.
Sasa hivi wapo kwenye mgogoro mkubwa na jamaa kaamua kumuachia nyumba yeye kaenda kupanga Ila mwanamke hataki kakataza watoto kumuita ndugu yetu Baba.
Huyo mama ameenda kubadiri ubini WA watoto kwenye vyeti vya kuzaliwa Hadi shuleni.
Hivi ninavyoongea sidhani jamaa hatafanya tukio la kikatiri Hadi mwaka huu kuisha! Ana mawazo sijapata kuona.
Ujumbe Kwa Dada zangu: Chungeni midomo. Midomo inaweza kuwafanya mmoja akaenda mochwari na mwingine Gerezani. Kuweni na busara kipi cha kuongea na Kwa wakati gani.
Naombeni mumuombee ndugu yangu