Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

Tumbavu zako wewe, tunataka bandali yetu tuliyozawadiwa na Allah!
 
Hii ni dalili kuwa hii pinga pinga ya bandari ni ya mitandaoni tu lakini mitaani na nchini hakuna anaepinga.
Nimeona ninyanyue tu mstari huo kueleza kwamba umepoteza muda bure kabisa kuandika yote uliyoandika hapo, nami nikisikitikia muda wa kusoma andiko la namna hii.

Ningeanza na kutazama mwandishi ni nani, nisingepoteza muda wangu hapa.

Wewe ni mmoja wa lile kundi maalum la "uandishi wa mitandaoni"? Hawa waajiri wenu kweli wanazo pesa za kuchezea hovyo!
 
Nye
Nyie Machawa (PAKA WA LUMUMBA) mna matatizo sana. Isuue siyo kuwa wangapi wanasupoort au hawasupport. Isuue ni je mkataba ni mzuri au mbaya. Na uzuri wake hautakuja kwa ajili ya mikutano ya CCM au ya CDM .... uzuri wa mkataba ni uhalisia. Kwa sasa nchi imegibikwa na kesi kwa ajili ya mikataba mibovu huko nyuma. Inakadiliwa kesi zote zinazoendelea kwa sasa zitalicost Taifa zaidi ya TShs 1.3 Trillion. Umeshaona ni jinsi gani akina Mruma walivyogalagazwa na vitoto huko NY .... Sijui nani aliiloga nchi hii!!
 
Bora picha ipi hapa?

au
Ona wazungu waliotuletea dini jinsi walivyowatesa babu zetu.

Je tukatae dini zao kwa vile waliotuletea waliwatesa babu zetu?

Nasubiri jibu.
 

Attachments

  • Screenshot_20230726-162015.png
    91.2 KB · Views: 3
Maswali yako ni ya kijinga sana afu yanayoongozwa na kile ulichomezeshwa na wakwepa kodi wa bandarini.

Hata hivyo propaganda zimeshashindwa, watanzania wengi washachoka kufanywa watumwa wa kifra na wachumia tumbo fulani.

Ndiomaana wakaudharau mkutano ulioitishwa na wachumia tumbo hao.
 
Utapindisha na Kupindisha kuwa suala hili ni la CHADEMA peke yake. La hasha, ni suala la Watanganyika
Sijifichi mimi ni CCM na ukifuatilia sana sikubaliani na sera nyingi za CHADEMA na za CCM ila natambua mchango wao CHADEMA kuwa ni mkubwa na wenye umakini na manufaa kwa Taifa letu likija suala la Checks and Balances si hivyo tu Wengi ambao wanaopinga suala hili la Bandari wanatoka kona zote za Tanzania, wewe na genge lako ndio mnaonzaisha ma UZi ya utenganishi kwa lengo la kuhadaa tu.

Hachaguliki huyo 2025
 
Wanaojua ndio wanaopinga yaani wasomi mitaani tu hata kuandika majina yao ni shida eb njoo huku Kishapu ujionee
 
MKATABA ULE, MKATABA.
 
MKATABA...
 
Kuna mtu amenambia DP World wakishaanza kazi wataleta vichwa vya trucks (tractor) 300 na trailers 1,000 na kuwako pesha transporters wadogo wadogo bila riba ili mizigo yao ifike kwa wateja wao kwa wakati.

Hii ni fursa kubwa sana.
Only clever people ndo wataiona fursa ya dp world
 
Sasa ukitegemea watu waende kwenye mvua wakati wanafuatilia mtandaoni?
 
Ndiomana serikali imeamua kuwachinjia mbali wezi, wabadhilifu na wavivu wote wa bandarini kwa kuwaletea watu wapya ambao wqtakuja kutokomeza kabisa wizi, uzembe na ujinga pale bandarini.
Hatujakataa mwekezaji Wala hatuna shaka na Dp world sisi serikali irekebishe mkataba mwekezaji afanye KAZI ila tatizo la mizigo kuwama bandarini liko TRA na mabenk kufanya kazi mwisho saa kumi hata hao Dp wakishusha meli Tano kwa siku shida Iko pale pale barabara vinyuu Boda zetu mfano tunduma malori yanakaa wiki kwenye foleni
 
Mwenyekiti ashahongwa mamilioni yake, sasa anamuona kila mtanzania ni mpumbavu including chawa wake 🤣🤣🤣
 
Bandarini pale ni wizi mtupu. Usione watu wanapinga ujio wa DP world ukafikiri ni wazalendo. Ukweli ni kwamba wanaopinga mkataba wengi ni wale wezi wa bandarini, wapitisha madawa ya kulevya na vishoka.
Hao wezi ni zao la chama gani tunachoitaji watanganyika ni mkataba ulekebishwe vifungu vyake
 
Angalau wewe umeandika comment yenye kueleweka na kuandika vitu vinavyoweza kurekebishika.
 
Hao wezi ni zao la chama gani tunachoitaji watanganyika ni mkataba ulekebishwe vifungu vyake
Weka sasa huo mkataba hapa ili na sisi tuone hizo sehemu zinazohitaji kurekebishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…