Uzuri ni nini?Kama kigezo ni uzuri kwa nini ni lazima awe Mwarabu au masinganga kama ulivyosema?
π€£π€£π€£ Sasa kinamuuma nini wakati na yeye alimkuta mwenzake!Unadhan ukiwa na ndugu wana uwezo Ndio wataweza kukusaidia au kukuinua shoga ni wachache,
Nimeona video mama yake haji anasema yule Ruby kaumia yupo nae katika kipindi hikikigumu [emoji23][emoji23][emoji23] kama namuona Ruby maskin
Uzuri ni nini?
Namna mtu anavyokichukulia kitu/mtu.
Haji yeye anajua sifa ya mwanamke mzuri kwake anatakiwa aweje,
huwezi jua labda ili mwanamke aitwe mzuri mbele ya manara ni lazima
atoke kwenye moja ya hayo makundi, mwarabu/singasinga/shyombeshyombe...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mapenzi tu anawapaAnawapa nini ??mi namuonaga manara anatisha
Mkwe mkwe mkwe[emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1]Yule pisi kaalii balaaa nakajua kale kadada
Manara Ana pesa Sasa hivi,mnooo!manara kwa mwezi anaingiza si chini ya 40m
Huyu wifi wa safari hii mimi mwenyewe nimeishia tu mmmhh. I hope atakaaWatakaaa ?? Ngoja tuone [emoji1787]
Kwani wewe hupendi mwanamke shyombeshyombe mkuu?Lakini ni Waislamu wa Tanzania wote wanaotajirika, mke wa pili ni mwarabu/nusu mwarabu na siyo swala na mtu mmoja, β¦
Sio tu chura wifi mrembo balaaAnaonekana Ana chura
Ova
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inashangaza, mtu dada Ake DC, shemeji waziri halafu unaenda kuolewa na Msemaji, Kama ni njaa si Bora angeomba mtaji afanye biashara....Bora hata kudanga kuliko kuolewa na Yule Mzungu....mwanaume gani anachamba vile! Kwanza anaonekana pale gubu ni nyumbani kwao.
No complicationAfisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara katika picha mara baada ya kufunga ndoa kwa mke wake wa pili jioni ya Alhamisi Aprili 14, 2022
Manara anakuja,proposal ya kwanza anakupiga na kiwanja Pale KunduchiMmmh ππ hata kama
watu msha calculate,wabongo nyoko nyie[emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1]Yule pisi kaalii balaaa nakajua kale kadada
Manara Ana pesa Sasa hivi,mnooo!manara kwa mwezi anaingiza si chini ya 40m
Kwa hiyo manara Ndio kawafanyia hivyo hao wake zake πππ au yule wahida, mi hapana aki hata anihonge duniaManara anakuja,proposal ya kwanza anakupiga na kiwanja Pale Kunduchi
Hujapumua mafundi washaanza kujenga ile dream house yako,Hujajigeuza
sawa twende showroom ukachague kiberiti chakutembelea,Mara unapgiwa
simu na wazazi mlete Mkwe nyumbani tumuone,Mnaenda home Mama Mkwe
anatandikwa na Kiberiti cha kutembelea,BABA Mkwe hajaongea vizuri kapewa
Bima anaambiwa Mzee umri umeenda hii BIMA utatibiwa Hospital yyte hii Nchi Free
na zaidi ya hayo BIMA ime cover bills zote,BABA na MAMA wote wakiona hata kipele
kimeota wakimbilie Aghakhan,Hivi unahisi we DINA utachomoa? maana ukichomoa wewe
wazee wako watakurudsha kwa nguvu ya 5G acha kabisa mwanaume akidhamiria
kukuoa anakufanyia mambo ambayo unahisi hakuna mwanaume dunia hii anaweza yafanya.
anakupa care wewe ya 4G halafu ukweni anatoa care ya viwango vya 5G ndio utajua haujui....
Ushawahi ona ile wewe humwelewi mwanaume wako kiviiiileee,ila wazazi na ndugu na jamaa na marafiki Huwaambiiii kitu kuhusu Mume wako,ishawahi kuku tokea hiyo?
Kama bado omba isikukute maana huo mtego mbaya sana,kuna wanaume wana nyota za sir God anapendwa hadi na shetani,unajikuta unamchukia wewe peke ako..
Utaolewa tu mke wa 8 nakwambia
Maanake alikuwa nae toka kitamboHuyu wifi wa safari hii mimi mwenyewe nimeishia tu mmmhh. I hope atakaa
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hapo nimekupa mfano wa namna unaweza kunaswa kwenye huo mtego unao ukataa saiviKwa hiyo manara Ndio kawafanyia hivyo hao wake zake πππ au yule wahida, mi hapana aki hata anihonge dunia
Sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mapenzi tu anawapa
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hehehe π€Hapo nimekupa mfano wa namna unaweza kunaswa kwenye huo mtego unao ukataa saivi
Unasema tu hapo ilaa ukitaitishwa kwenye 18,mama ako anakutolea macho,baba anakutolea macho,mbona ndoa hiii hapa naiona...
Kifupi jamaa ni MTU wa fegi na Heineken kwa sanaaaa.. Of coz mlevi mbwaKuna mke mmoja wa Manara alisema hakuna mwanamke atakayeweza kuishi na Manara hata wao walimvumilia yakawashinda sijui jamaa huwa ana shida gani maana kwa umri wake kuhangaika na ndoa inaonyesha kuna kitu hakipo sawa kwake.