Nakuruhusu useme kwa niaba maana mna bifu nae binafsi la uchaguzi wa 2020. [emoji851][emoji851]
Tufafanulie wengine vilaza,naona suti gwanda,suti Kaunda na suti tai 🦅.Pia kama wakati wakati umerudisha saa yako nyuma kadiri ya miongo mmoja,🤔Ila binafsi umeniacha sijui wadau wengine 🤔Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndio huko picha hii inavyotueleza. Yaliyopita pia yameoneshwa kwenye background ya picha hii.
Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano, Tanzania ya demokrasia na sio Tanzania ya kiburi na maamuzi binafsi.
Demokrasia itang’ara zaidi kuliko uhafidhina. Wasiopenda demokrasia wataachwa nyuma na hawatakuwa na marafiki. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Mbona iko clear sana? Hebu soma tena uzi upya.Tufafanulie wengine vilaza,naona suti gwanda,suti Kaunda na suti tai 🦅.Pia kama wakati wakati umerudisha saa yako nyuma kadiri ya miongo mmoja,🤔Ila binafsi umeniacha sijui wadau wengine 🤔
Ila mwamba bichwa komwe sii fisadi na hajawahi kuwa🤔Matapeli hao waliojificha kwenye chaka la siasa kuwalaghai watu.
ALKAELI ASALI MBOWE akiongozana na JAKAYA FISADI KIKWETE.
A deceptive criminal racket under the guise of politics.
Hahaha [emoji851]Ila mwamba bichwa komwe sii fisadi na hajawahi kuwa[emoji848]
Swadakta.Demokrasia itang’ara zaidi kuliko uhafidhina. Wasiopenda demokrasia wataachwa nyuma na hawatakuwa na marafiki.
Ila usipasuke tu🤔Kwenye hiyo picha kuna mtu mtu kanuna hadi moyo umemvimba.
Na hakuna haja ya kuwa na vyama vya upinzani mana kila kitu watakuwa wanakubali tu.Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndio huko picha hii inavyotueleza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii.
Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano, Tanzania ya demokrasia na sio Tanzania ya kiburi na maamuzi binafsi.
Mwanga utajadiliana na giza, na demokrasia itang’ara zaidi kuliko uhafidhina. Wasiopenda demokrasia wataachwa nyuma pamoja na tai zao hawatakuwa na marafiki, watafifia.
Atakayetuongoza miguu yake imetangulia wengine, kavaa kama askari wa demokrasia, atasikiliza hekima za watangulizi wake kwa unyenyekevu na ni mwingi wa fikra na atatuvusha! Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Muda huu ni gaidi mara sijui mwana ccm acheni nyege mshindo nyie mbwaTanzania haiwezi kutawaliwa na gaidi
Siasa sio uadui.Na hakuna haja ya kuwa na vyama vya upinzani mana kila kitu watakuwa wanakubali tu.
Jana mwamba kaalikwa tena kula futari Ikulu....Kuna haja gani kiongozi wetu wa mapambano anashinda na adui yetu wa maendeleo analamba tu Asali?
Sio uadui kivipi kenya wanatibuana kisa nini?Siasa sio uadui.
Usishangae kuona Ruto na Odinga wakikumbatiana na kupongezana keshokutwa.Sio uadui kivipi kenya wanatibuana kisa nini?
Jamaa alikuwa na roho mbaya sanaIla usipasuke tu🤔
Tena inaweza kuangaliwa sambamba ni hii nyingine hapa chiniPicha husema bila maneno. Tunakoelekea ndiko huko picha hii inakotuelekeza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii.
Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano. Ni Tanzania ya demokrasia na sio Tanzania ya kiburi na maamuzi binafsi.
Mwanga utajadiliana na giza, na demokrasia itang’ara zaidi kuliko uhafidhina. Wasiopenda demokrasia wataachwa nyuma na hawatakuwa na marafiki, watafifia na kusahaulika.
Angalia, atakayetuongoza miguu yake imetangulia wengine, kavaa kama askari wa demokrasia, anajua siasa si uadui.
Alivyosimama, anaonekana ni mwamba anayewategemeza wengine. Anasikiliza hekima za watangulizi wake kwa unyenyekevu, ataongeza na hekima zake mwenyewe na atatuvusha! Mungu ibariki Tanzania na watu wake.