PICHA: Hii ndio Ofisi Mpya ya CCM Arusha iliyokaguliwa na Rais Samia, kuna Chama kilikusanya zaidi ya TZS 18bln Ofisi yao ya Taifa inazidiwa na hii

Mimi naipenda chadema ila hili la kushindwa kujenga ofisi za HQ bado silielewi.
Msiichague chadema, ni wahuni. Mpaka waonyeshe ofisi ndio muipe kura
 
Pesa hizo ni kwa matumizi ya chama, umeme, kodi, mishahara, magari, posho, maji na mengineyo, CCM ilichota tri.1.5 pesa za serikali kilipa mishahara na matumizi mengine.
Mkipewa dola simtafilisi tu Kama Umeme Bl 18
 
JENGO LA CHAMA

Jengo la Chama ni Zuri kuliko Hospitali yetu ya wilaya pale Tarime.

Jengo la Chama ni Zuri kuliko ile shule ya msingi chakavu ya pale Kinyambwiga.

Jengo la Chama ni zuri kuliko nyumba za walimu pale Mikindani

Jengo la Chama ni zuri Kuliko nyumba za Askari magereza pale Ukonga.

Jengo la Chama ni zuri kuliko nyumba za polisi pale Mabatini Mwanza.

Jengo la Chama ni zuri kuliko Mabehewa mapya ya SGR.

Jengo la Chama limekula hela ya serikali kushinda watumishi wanaopigika deile.

Jengo la Chama linaumeme wakati nyumbani kwa mwalimu mkuu pale Uyui halina umeme.

Jengo la Chama lina malumalu mpaka vyooni ilihali pale shule ya msingi Mtakuja wanafunzi wanapigwa na vumbi darasani.

Jengo la Chama lina Vyoo vya uhakika ilihali pale shule ya Sekondari Mbulu inaupungufu wa matundu ya vyoo.

Jengo la Chama lina mabati ya msauzi ilihali Hospitali ya wilaya ya Magu mvua ikinyesha ni mtafutano.

Jengo la Chama lina samani za kila aina ndani ilihali hospitali yangu ya wilaya pale Hanang haina vitanda vya wagonjwa.

Jengo la Chama lina vyumba hadi vya mlinzi ilihali pale hospitali ya wilaya Igunga hakuna Jengo la Baba na Mtoto.

Jengo la Chama lina bendera mpya ya Taifa ilihali Central polisi pale Iramba inapeperushwa bendera chakavu kama imeliwa na panya.

HONGERA MH RAIS KWA KUUPIGA MWINGI.

HONGERA MH. KATIBU MKUU WA CHAMA KWA KUUPIGA MWINGI.

HONGERA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA KUZALISHA AJIRA KUPITIA JENGO HILO HAKIKA MNAUPIGA MWINGI HADI UNAMWAGIKA KILA MTANZANIA ANAUZOA.
 
Safi kabisa
 
Hii Nayo Ni Aibu Nyingine Kwa Ccm Jamani, Hapo Cha Kujivunia Nini? Report Ya Bashiru Ingewekwa Wazi Hata Msingesema Lolote
 
Bora Madonga Anayefanya Mazoezi Mchana Na Jua Kali Kuliko Chama Ambacho Kimeshindwa Kutatua Shida Na Matatizo Ya Wananchi Wao Ni V8 Tu
 
Yaani huo mjengo wametumia bln 18
Au bln 1.8 ???

Ova
 
Back
Top Bottom