PICHA: Hii ndio Ofisi Mpya ya CCM Arusha iliyokaguliwa na Rais Samia, kuna Chama kilikusanya zaidi ya TZS 18bln Ofisi yao ya Taifa inazidiwa na hii

PICHA: Hii ndio Ofisi Mpya ya CCM Arusha iliyokaguliwa na Rais Samia, kuna Chama kilikusanya zaidi ya TZS 18bln Ofisi yao ya Taifa inazidiwa na hii

Vhama Cha mapinduzi kilirithi majengo yake toka serikalini,ni upuuzi kupost vihoja.tangu mwaka huo mpaka Sasa CCM imepokea ruzuku kiasi gani?tupe ilichofanya
Hilo jengo ni lakurithi unavyoliona?
 
CHADEMA ina la kujifunza. Mbowe pale Machame kijiji cha Lambo anashusha mjengo mmoja hatari sana huku chama chake kikiwa hakina ofisi. Hata kama yeye ndo mmiliki wa chama nadhani kapitiliza ubinafsi. Haiwezekani asijali mradi wake unaomletea hela.
 
Achen porojo hili jengo limejegwa na michango ya lazima Kwa watumishi Kwa amri ya Ras kipindi Cha mwendazake hakuna Hela ya chama hapo
 
Back
Top Bottom