CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Hilo jengo ni lakurithi unavyoliona?Vhama Cha mapinduzi kilirithi majengo yake toka serikalini,ni upuuzi kupost vihoja.tangu mwaka huo mpaka Sasa CCM imepokea ruzuku kiasi gani?tupe ilichofanya