Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mkipewa dola simtafilisi tu Kama Umeme Bl 18Pesa hizo ni kwa matumizi ya chama, umeme, kodi, mishahara, magari, posho, maji na mengineyo, CCM ilichota tri.1.5 pesa za serikali kilipa mishahara na matumizi mengine.
Kuna Chama kikubwa cha Upinzani hapa Tanzania Kati mwaka 2015-2020 kilikusanya zaidi TZS 18bln ikiwa ni pesa ya ruzuku Ila mpaka naandika makala hii Kuna baadhi ya majengo yao pale HQ Wanapanga, CCM itabaki ni Chama kiongozi na tutaongoza kwa kapindi kirefu sana.
Chadema mnatuangusha sana.
Jamaa ni wapigaji sana aise
Bl 18 jamani bila Ofisi kweli?!
Daaah CHADEMA kweli mnajua kutumia wazeeLeta matumizi ya chadema nchi nzima kwa mwezi. Acha kubwabwaja.
Safi kabisaJENGO LA CHAMA
Jengo la Chama ni Zuri kuliko Hospitali yetu ya wilaya pale Tarime.
Jengo la Chama ni Zuri kuliko ile shule ya msingi chakavu ya pale Kinyambwiga.
Jengo la Chama ni zuri kuliko nyumba za walimu pale Mikindani
Jengo la Chama ni zuri Kuliko nyumba za Askari magereza pale Ukonga.
Jengo la Chama ni zuri kuliko nyumba za polisi pale Mabatini Mwanza.
Jengo la Chama ni zuri kuliko Mabehewa mapya ya SGR.
Jengo la Chama limekula hela ya serikali kushinda watumishi wanaopigika deile.
Jengo la Chama linaumeme wakati nyumbani kwa mwalimu mkuu pale Uyui halina umeme.
Jengo la Chama lina malumalu mpaka vyooni ilihali pale shule ya msingi Mtakuja wanafunzi wanapigwa na vumbi darasani.
Jengo la Chama lina Vyoo vya uhakika ilihali pale shule ya Sekondari Mbulu inaupungufu wa matundu ya vyoo.
Jengo la Chama lina mabati ya msauzi ilihali Hospitali ya wilaya ya Magu mvua ikinyesha ni mtafutano.
Jengo la Chama lina samani za kila aina ndani ilihali hospitali yangu ya wilaya pale Hanang haina vitanda vya wagonjwa.
Jengo la Chama lina vyumba hadi vya mlinzi ilihali pale hospitali ya wilaya Igunga hakuna Jengo la Baba na Mtoto.
Jengo la Chama lina bendera mpya ya Taifa ilihali Central polisi pale Iramba inapeperushwa bendera chakavu kama imeliwa na panya.
HONGERA MH RAIS KWA KUUPIGA MWINGI.
HONGERA MH. KATIBU MKUU WA CHAMA KWA KUUPIGA MWINGI.
HONGERA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA KUZALISHA AJIRA KUPITIA JENGO HILO HAKIKA MNAUPIGA MWINGI HADI UNAMWAGIKA KILA MTANZANIA ANAUZOA.
Ruzuku inatokana na nini?Kodi gani hiyo, Chama kinaruzuku mbona
Unajitekenya alafu unajichekesha mwenyewe.Jamaa ni wapigaji sana aise
Nyie mmetatua shida za wanachama wenu?Bora Madonga Anayefanya Mazoezi Mchana Na Jua Kali Kuliko Chama Ambacho Kimeshindwa Kutatua Shida Na Matatizo Ya Wananchi Wao Ni V8 Tu
Kimewekeza zaidi DUBAI, SOUTH AFRIKA. infact ni wala bata zaidi.Hicho chama hawana hata kiwanja tu cha kujenga hiyo ofisi!
Hatari sana aiseKimewekeza zaidi DUBAI, SOUTH AFRIKA. infact ni wala bata zaidi.