Picha: Jinsi tapeli la Kinigeria lilivyojaribu kunitapeli mtoto wa Magomeni Mikumi leo asubuhi

Mimi ni mtu mwenye mishe zangu, kwahiyo sikuwa na muda wa kuchezea kumbembeleza tapeli. Hata hayo maongezi mawili matatu ni kwa sababu nilikuwa nipo lunch kwahiyo ndo maana tuliweza kutumiana hata hizo mesej mbili tatu.

Pengine wewe ungeweza kutapeliwa lkn kwa mimi hilo haliwezekani hata tungeongea nae kutwa nzima huku jamaa akiwa na wenzake zaidi ya 20 wangechemsha tu mkuu.
 
Hao jamaa bado kidogo wanikamate kwenye betting kipindi hicho miaka ya 2010 ndo online betting inaanza kuwa maarufu bongo jamaa mmoja akajidai anauza fixed matches, sasa anatuma mkeka umezibwa options na namba ya ticket katika kufanya fanya utundu nikapata namba ya ticket alivyokuja kuweka wazi mkeka baada ya mechi kuisha ile kuangalia ile namba nakuta ni mkeka tofauti nikashtuka
 
Mm hao wamenijaribu mwaka2019 HV sasa wee leo ndio unawajuwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mmoja alikuwa ananisumbuaa mwanamke nikaja mtumia lipicha lenye liboroo aliishia kucheka ajakah sawa nikamtumia ya kugegedana bas tukawa marafiki huku Bado akitaka kunitapeli tu hukuambulia kitu Zaid Sana video za ngono tukizotumiana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hawa wajinga nimeanza kukutana nao tangu enzi hizo anajifanya ni muhanga wa vuta sjui wana treasure wapi huko hivyo akipata mtu anamuoa ndo atakabidhiwa... Ukijicgangamya unapewa namba ya mchungaji huko cameroon blah blah blah.... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Kama usingekuwa makini siku hiyo ungepigwa vibaya ndugu yang. Haya mambo watu wanayachukulia poa, lkn kuna watu kibao wasiokuwa makini au kufahamu mambo haya wanaumizwa.
 
Mm hao wamenijaribu mwaka2019 HV sasa wee leo ndio unawajuwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mimi nilikuwa nawajua kupitia watu wengine waliokumbana na mitihan ya aina hii. Ila kwa upande wang jana ndo ilikuwa siku ya kwanza kupokea message hii. Na mimi sikupenda nimkaushie au nitoke bila kumuachia neno kwamba si watu wote wanaoweza kutapeliwa kijinga jinga namna hii. Wengine tuko makini zaidi ya vile walivyo wao.
 
Ukute huyo hakuwa mwanamke bali ni lidume lililotumia picha ya mwanamk ili aweze kuwatapeli vizuri wafungua zipu.
 
Safi sana
Kiingereza cha AM GONA GO... kimenibamba hapa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hamna mwanzo ulikuwa unajibrag kuwa we ni mjanja[emoji2][emoji2][emoji38]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Westerners hao ni Balaa sio Nigeria tu hata Ghana nao wako njema, Lakini Mostly tunakuwa Coined kwa Vile tu hatuna basics za kulinda taarifa zetu mitandaoni, Tuna Overshare vitu kitu ambacho kinapelekea attackers kukushambulia kirahisi
 
Hahahahahaha....ngoja akuweke kwenye porno site

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…