Picha: Jinsi tapeli la Kinigeria lilivyojaribu kunitapeli mtoto wa Magomeni Mikumi leo asubuhi

Westerners hao ni Balaa sio Nigeria tu hata Ghana nao wako njema, Lakini Mostly tunakuwa Coined kwa Vile tu hatuna basics za kulinda taarifa zetu mitandaoni, Tuna Overshare vitu kitu ambacho kinapelekea attackers kukushambulia kirahisi
Kweli kabisa mkuu.
 
karibu mapipa hapa nikupe kikombe cha gahawa mkuu
 
Nnakumbuka kipindi hicho nnamaliza form 6 mambo ya mtandaoni kutafuta scholarship nikakutana nao hao jamaa nilijua tayari nimetoboa nimepata chuo USA sema kilichonisaidia hela yenyewe nilikuwa sina mbona ningeituma maana nilishatumiwa documents kwenye kuhangaika kutafuta hyo hela ya kutuma ndio kuna bro nikamuhadithia akaniambia hao matapeli achana nao hila hapo washanitesa sana hzo route za kwenda internet cafe maana kipindi hicho net lazima internet cafe nimeshinda sana internet cafe inaitwa richmond nyuma ya jengo la ushirika kutuma vyeti mara ku scan vyeti kumbe matapeli.
 
Basi mwenyewe umejiona mwaaambaaaa..
Kumbe mwenzako ndio alikuwa field anafundishwa namna kuwa tapeli.
Kuna watu bongo bado wanatapeliwa na waswahili wenzetu, sasa mimi nimepangua mipango ya wezi wa kimataifa afu unaona swala dogo hilo.
 
Huwa wanapata wapi namba zetu??

Hii picha sio mara ya kwanza kuiona
 
Mwenyewe nimefuatwa Leo, nilichomjibu hatokuja asahau.
 
Aisee hawa wazungu wengin wanachekesha sana Imagine nusu nitapeliw kizembe zembe tu .. ila inshu niliistukia baada ya kukumbuka kuna jamaa angu nae alitapeliw kama elfu98 hivi hivi ... nika mkwepa kiainaa
 
Huwa wanapata wapi namba zetu??View attachment 2506480
View attachment 2506481
Hii picha sio mara ya kwanza kuiona
Najiulizaga huyu Binti pics zake hatambui kabisa kwamba zinatumika au hayupo duniani?
Nilifuatwa na pics hizihizi mwaka jana, mara sijui ananipenda anataka anitumie mzigo, sasa alipofeli, akaniambia mzigo utapitia Nigeria so natakiwa kulipa fees.
Niliamua kumute.
 
Kumbe wewe ndo mara ya kwanza kukutana na hao jamaa baba?

Yani mpaka umeyaleta jf unajiona kama umeachieve kitu kikubwa sana[emoji3]
Jamaa bure kabisa, hata area code za nchi hazijui mpaka aka google harafu anakuja humu anajikuta mwamba mjanja kumbe hamna kitu.
 
Wanaitumia sana hii picha
 
Hata hapa Tz kuna watu wana namba zina code za asia, nchi za Africa nk. Nimeshaona mara nyingi. So hiyo haitosh kumtuhumu kwamba ana nia mbaya kwako. Leta kigezo kingine.. Hapa.
 
Huwa wanapata wapi namba zetu??View attachment 2506480
View attachment 2506481
Hii picha sio mara ya kwanza kuiona
Hawa huwa wanabahatisha namba. Mfano mtu unajua kwamba namba nyingi za sim huwa zinaanza na "071" kwahiyo wanachofanya wao ni kuongeza namba zingine saba mbele ili zienee kumi afu baada ya hapo wanapima kuona kama hizo namba walizopima kuna mtu anazitumia au hazitumiwi. Wakiona hazitumiwi wanapima namba zingine mfano 071 (8193190) au 071 (7075180) hizo namba za mwanzo ambazo hazipo kwa mabano huwa haziwasumbua kwani laini nyingi za sim zinaanzaga na namb hizo ila hizo za kweny mabano ndo huwa wanabahatisha kwa kuanza na kodi namba ya nchi husika. Wakishaona mwenye namba abatumia whatss wanakuchek kwa whatsapp wakiona hautumii wanapima kukutumia meseji ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…