CONTRARIAN
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 982
- 3,137
Kutapeliwa kwenye viwanja kunatokana na mifumo mibovu.Watu wa Ajabu kweli Humu,
Mtu anasema atakua makini na njia ambazo yeye atatumia kuepuka kutapeliwa,
Wewe unakuja kila njia unapinga, eti kutapeliwa utatapeliwa tuu,
As if kutapeliwa ni lazima, haya basi toa Mawazo yako ya kuepuka kutapeliwa, Bado hutoi? Kwahio watu wasinunue viwanja?
Kutapeliwa kwako usilazimishe kila mtu atapeliwe.
Napata picha mmerushana sasa mnavurugiana.Kuja PM ni option. Lengo ni kuunganieha nguvu kumdhibigi huyu mtu, Kwasababu ametapeli watu wengi mnoooo.
Na imagine mtu mwenye wafanyakazi Jiji zima?
Kwahiyo ni maamuzi tu.
Wewe ni mtanzania halisi. Akili za kenge mpaka mtoke damu ndio mtie hurumaNapata picha mmerushana sasa mnavurugiana.
Hayo maelezo dhidi ya mtuhumiwa yanaonesha amekuwa karibu naye sana kwa muda mrefu tena bila tatizo, ila tatizo limezuka sasa, ningekuwa mpelelezi ningeanza na huyu.Wewe ni mtanzania halisi. Akili za kenge mpaka mtoke damu ndio mtie huruma
Mbona Mimi sioni hicho unachosema?Hayo maelezo dhidi ya mtuhumiwa yanaonesha amekuwa karibu naye sana kwa muda mrefu tena bila tatizo, ila tatizo limezuka sasa, ningekuwa mpelelezi ningeanza na huyu.
Juzi hapa Bibi mmoja amefariki na Hana uwezo. Wamejaribu kutengeneza daftari la michango hawakupata kitu.Pole kwa kutapeliwa,pamoja na kuishi Kilimanjaro kwenye Elimu na ujanja umerudi usukumani na kutapeliwa? [emoji1][emoji1]