CONTRARIAN
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 982
- 3,137
Watu wa Ajabu kweli Humu,
Mtu anasema atakua makini na njia ambazo yeye atatumia kuepuka kutapeliwa,
Wewe unakuja kila njia unapinga, eti kutapeliwa utatapeliwa tuu,
As if kutapeliwa ni lazima, haya basi toa Mawazo yako ya kuepuka kutapeliwa, Bado hutoi? Kwahio watu wasinunue viwanja?
Kutapeliwa kwako usilazimishe kila mtu atapeliwe.