Picha: Kama umenunua Kiwanja, nyumba au Pagale ndani ya Jiji la Mwanza, ni zaidi ya 98% utakuwa umetapeliwa na huyu mtu

Picha: Kama umenunua Kiwanja, nyumba au Pagale ndani ya Jiji la Mwanza, ni zaidi ya 98% utakuwa umetapeliwa na huyu mtu

Watu wa Ajabu kweli Humu,
Mtu anasema atakua makini na njia ambazo yeye atatumia kuepuka kutapeliwa,

Wewe unakuja kila njia unapinga, eti kutapeliwa utatapeliwa tuu,
As if kutapeliwa ni lazima, haya basi toa Mawazo yako ya kuepuka kutapeliwa, Bado hutoi? Kwahio watu wasinunue viwanja?
Kutapeliwa kwako usilazimishe kila mtu atapeliwe.
 
Kutapeliwa kwenye viwanja kunatokana na mifumo mibovu.

Na issue ya utapeli wa viwanja inaambatana na dhulma, siyo utapeli wa maneno.

Mtu anaweza kukuuzia eneo lake halali kabisa, na akakupa documents lakini mkimaliza anauzia watu wengine.

Na changamoto kubwa, hapo kisheria huruhusiwi kwenda polisi, itabidi uende Mahakamani ambako itakuwa ni kesi ya madai.

Na Kama unajua kesi za madai zilivyo, ujue mpaka hapo kesi haitakuwa na mwisho na zitabaki danadana.
 
Kuja PM ni option. Lengo ni kuunganieha nguvu kumdhibigi huyu mtu, Kwasababu ametapeli watu wengi mnoooo.

Na imagine mtu mwenye wafanyakazi Jiji zima?

Kwahiyo ni maamuzi tu.
Napata picha mmerushana sasa mnavurugiana.
 
Wewe ni mtanzania halisi. Akili za kenge mpaka mtoke damu ndio mtie huruma
Hayo maelezo dhidi ya mtuhumiwa yanaonesha amekuwa karibu naye sana kwa muda mrefu tena bila tatizo, ila tatizo limezuka sasa, ningekuwa mpelelezi ningeanza na huyu.
 
Hayo maelezo dhidi ya mtuhumiwa yanaonesha amekuwa karibu naye sana kwa muda mrefu tena bila tatizo, ila tatizo limezuka sasa, ningekuwa mpelelezi ningeanza na huyu.
Mbona Mimi sioni hicho unachosema?

Una miaka mingapi kijana?
 
Hamna kitu kinaitwa kutapeliwa bali kuna kuna kujitapeli kutokana na kushindwa kutumia akili binafsi vizuri.
 
Pole kwa kutapeliwa,pamoja na kuishi Kilimanjaro kwenye Elimu na ujanja umerudi usukumani na kutapeliwa? [emoji1][emoji1]
 
Pole kwa kutapeliwa,pamoja na kuishi Kilimanjaro kwenye Elimu na ujanja umerudi usukumani na kutapeliwa? [emoji1][emoji1]
Juzi hapa Bibi mmoja amefariki na Hana uwezo. Wamejaribu kutengeneza daftari la michango hawakupata kitu.

Wameweka Kiamba bondi kwa Milioni moja laki 8, ili wafanye msiba. Kiuhalisia hicho kiamba kimeshaenda.

Dhulma uchaggani ni kitu cha kawaida sana.
 
Back
Top Bottom