PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

Kapige graseofulvin 4 weeks.
Kapige na Fluconazole 4 weeks.
Na Clotrimazole cream ipake hadi iishe.
 
Jaribu kuoshea maji ya chumvi.
Watu hii kitu hawajui mi nakumbuka nyumba niliyopanga ilikua na kisima cha maji chumvi makali mno bana si nikapataga huo ugonjwa na maji ya kawaida ya kuogea siku iyo sikua nayo nikajisemea tu ngoja leo nikanunue sabuni ya magadi nije kuogea haya maji ya chumvi aisee siku tatu huko chini hapawashi nikajisemea tu haya maji ndio tiba au hii sabuni ndio tiba.....hatimae we umekuja na jibu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Ulishasikia lile tangazo la dawa ya mende, kunguni, viroboto tango tango fangazi mapele ni 2500 tu nunua changanya na kikopo cha mafuta ya mgando halafu jipake asubuhi na jioni.

Nimewahi kuitumia na hapo ni baada ya kutumia zaidi ya laki moja kujitibu na sindano, jely na vidonge ila dawa ya 2,500 tu ikamaliza kila kitu.
 
Graseofulvin peke yake haitasaidia.
Apate na Fluconazole maana hiyo yaonekana ni kama maambukizi ya bacteria wa magonjwa ya zinaa.
 
Mkuu pole sana, hebu kafanye culture and sensitivity hii itakupa dawa stahiki
 
Mkuu punguza mbunye zitakuua? Kwa hali hii sasa unagegedaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…