Mbona yanajengwa maghorofa mengine nadhani zaidi ya 9Inashangaza Kidogo ingwa liftinawkenda na urefu wa majengo yanayoruhusiwa,ninachokijua Mbeya kwa sababu ya uwepo wa tetemeko la ardhihurukusiwi kujenga ghrofa zaidi ya tatu na mahitaji ya nlift huja kuanzia ghorma ya nne.
MK254 tunazipokea Pongezi zako kwa UNYENYEKEVU wa hali ya juu sisi wana-MBEYA. Karibu tusherehekee pamoja. Asante.
Mkuu sio kwamba mbeya bado sana hapana. Ila kwa sababu za kitaalam hairuhusiwi kujenga zaidi ya ghorofa nne kwa udongo wa kule ndiomaana hamna majengo marefu.Kaazi kweli kweli Mbeya bado sana jamani kuitwa Jiji. mbona miji mingine midogo tu ina majengo yenye kutumia lift. Halafu tena huko Mkuu wa Wilaya anaenda kuzindua (kukata utepe) lift kweli? duuh yaani huko Wakuu wa Wilaya hawanaga shughuli za kufanya?
Mbeya pamekosa wawekezaji makini tu laiti wangeruhusu Wachaga kuwekeza pale ingeizidi Cape Town ya Bongo, BUKOBA beibii
Hahaha mkuu hii ni kweli au ilikua strory tu?
kwenu Wapi mzee? Huenda ni chokest kuliko huko Mbeya.Tukisema Mbeya Bado sana mnadai tuna wivu na Mbeya yenu ona sasa. yaani leo ndo lift ya kwanza toka kuumbwa kwa Ulimwengu
Hahaha ilikuwa kweli kaka. Chezeiya wanyaki sasa. Afu jengo lenyewe nikaliona, la kichovu limejengwa Kama gereza matofali kila upande.
Hebu rudi tukawekeze home kaka.