madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Mageza wamefanya kazi mzur sanaEti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!
Time will tell
View attachment 1394498
View attachment 1394521
View attachment 1394222
Mtu kuhoji ukweli tu amekuwa kada wa lumumba? Hilo convoy unalosema lilipiltiliza hadi maeneo yasiyoruhusiwa? Na hilo convoy lilingia bila ruhusa? Na una uhakika gani kama magari ya ikulu yalitumika?Hebu nikuulize swali dogo tu, wewe kada wa Lumumba.
Hivi kuna maana gani watu wa CCM kuingia hapo gerezani Segerea na "convoy" ya nagari ya serikali ya Ikulu, wakati hiyo ni shughuli ya kichama?
Kule kwenye hiyo dunia ya kwanza ndio neno haki za binadamu ndiko lilikotokea! Demokrasia pia ndiko ilikotokea lakini yanayotendeka huko ni kizungulumkuti!Acha kufananisha na dunia ya kwanza waliokuzidi kila kitu, sema ingekua Rwanda utaeleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Makaburu wapo ila ni makaburu weusi a.k.a maccmUtadhani enzi za makuburu!!
ili tuamini kama walivutwa weke video nzima inayoonyesha tukio lote na sio hiki kipande
Mmefeli kusoka picha huyo avutwi Ila wamamziwia inaonekana Kuna sehemu anataka kwenda kwa nguvu Askari wanamziwia Apo unatakiwa uangalie anaelekea wap Sio kutaka kudanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba hawajui kwamba wanadanganya . they know the truth , wote mambosasa na viongoz wa gereza. What they did was to please their sadistic Master
ili tuamini kama walivutwa weke video nzima inayoonyesha tukio lote na sio hiki kipande
Wewe unatumia iyo nguvu kubwa kumwambia nani sasa ikiwa dola inajua ?Hivi hawa wadada walivyo na mdomo wangevutwa kweli si wangesema siku ile mbowe alivyoenda kuwajulia hali. Mbona hatukusikia wakisema tulivutwa getini. Mmeanza kiki upyaaaa. Mtawadanganya hao wanyamapori mnaowafugia ufipa.
Lema mwenyewe alisema siku ile mahakamani kuwa ujasiri bila nidhamu ni vurugu. Halima akivuta kitu anawapelekesha tu wenzie. Nao wanaendaga tu hasa huyo bulaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hasira baada ya kina heche kuwasema vibaya? Ama ni maagizo toka juu? Au mkuu wao anajua mbinu zasasa pale unapotaka promotion???
Maana bulaya na mzee ni wanasheria wakusomea kweli wangekosa kujua magereza kunataratibu zake!!
Kama hujui kusoma hata picha huwezi ona? Faida ya kulishwa matango pori shule za kata zenye waalimu watatu:wawili wa masomo ya sanaa na mmoja wa sayansi.Uwezo wa kudadisi na kutafsiri ni 0!ili tuamini kama walivutwa weke video nzima inayoonyesha tukio lote na sio hiki kipande