GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tumeshauri sana , ila twaoneka wapumbavu, walio kwenye viyoyozi tu ndo wanaonekana kuwa na akili , wenda hii ni rasharasha mvua inakuja , sijui fika kesho hali ya Taifa inaweza kuwa wapi , tumekosea sana kujiaminisha kwamba watz ni waoga ,

Do not underestimate any one .

Kuna mikoa likiamua amusha dude itakua balaa nawambia wana wa Mungu na sio kama wamelala hatujui mipango yao .

Why tunafika hapa .

Mungu ibariki tz ibariki Afrika
 
Watu watazidii kujaa road
 
Kama ilivyo kawaida na miaka yote Chombo hiki cha habari kinatafuta habari za kuokoteza ili kutaka kuonesha kuna machafuko.
Watanzania wamekataa uchochezi wanapiga kura na wanaenda kufungua biashara zao
 
Reactions: Tui
Mungu twakuomba uepushe raia wasidhurike 🤲🤲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…