GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nafikiria pia amiri jeshi mkuu atakua analiangaliaje jeshi sababu maandamano haya hayakuruhusiw ndio maana likapelekwa jeshi ili kuzuia, lakini wanajeshi wanasisitiza watu wasonge mbele zaidi. Sijui baada ya hili kutakuaje huko ndani
Ila najiuliza imekuaje serikali mpaka sasa hawajazima internet, ni nini kimewakwamisha 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…