GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jeshi lingehakikisha kila walipo wananchi na wao wapo ili, kuwahakikishia usalama wao.
 
Kweli kuna UASI JESHINI na ni kweli Bibi hatakiwi na watu wamemchoka. Dah mama anaondoka kilainiiiiiiii.

Kwisha habari yake. Jana hata huki vijijini tumeona wanajeshi wengi wamekuja kwa magari binafsi na kutawanyika kwa kutumia bodaboda.

Kweli Mama Abdul byeeeeeeeee.
 
Ccm wanawafuata wazee na magari kuwapeleka wakapige kura kisha wanawapa elf 5.
Labda wazee wa DAR NA PWANI Huku mvua imenyesha usiku wameingia shamba

Na masela wapo machimboni
Na mimi ni porini!
 
Mbezi hadi Goba kumepoa sana, hii kitu nilidhani ningekutana nayo Mbezi ili niunge jahazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…