Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ukianzisha uzi, wape breathing room wachangiaji wako - hasa wale wenye maoni tofauti na yako ali mradi tu hawakutukani. Sasa wewe kila mchangiaji tu akisema kitu tofauti na wewe hata kama hajatumia lugha ngumu huyoo usharuka naye na ad hominem attacks juu...oooh we masikini, ndo maana, oooh huna exposure; halafu unaacha hata kujadili hoja za msingi.Mkuu,
Mimi nna tabia ya kupokea mtu kwa namna alivyokuja
Asante
Mchina akishauza kitu cha kwanza anaibadlisha sh kuwa dollar...Wakuu,
Tunaposema Wachina ni existentia threat kwenye nchi hii, basi tunamaanisha mambo kama haya.
Mimi nilivyoelewa hii katuni ya Masoud Kipanya ni kwamba:
Pamoja na kwamba mchele unaouzwa na Mtanzania ni gharama lakini Mtanzania akinunua mchele, muuzaji ataenda kununua vitumbua baadae so kutakuwa na mzunguko wa fedha ndani ya nchi. Yaani wataunganishana.
Ila mchina akiuza mchele, yeye hatumii fedha zake kwa Watanzania yaani HAWAUNGISHI wabongo.
Mkishanunua vitu kwake yeye ataenda ataenda kutumia hizo fedha kwenye hotel, restaurants na kwenye mahotel ya kichina.
Na ndo maana Wachina wana CARWASH, HOTEL, RESTAURANTS, YARDS na HOSPITALI.
Mnawapa Wachina hela lakini hawazirudishi kwenu, wanazitumia kwao.
Nyie wenzangu mmeelewaje?
View attachment 3282509
Acheni wizi wajinga nyie wachina waendelee kuwepo tuMchina akishauza kitu cha kwanza anaibadlisha sh kuwa dollar...
Anaipeleka kwao kwenye taasis za kwao..sio kwetu!
Ana spend kwenye migahawa ya kichina inayouza vyakula vyao..
Sasa hivi wanachkua hadi hotel nzima kwa ajili yao na madili yao tu...
Inashangaza kuona Mtz anashangilia uwepo wa machinga wa kichina kkoo..aibu kabisa!
Umetafsiri. Vyema umejaribu kushirikisha ubongo.wengi wanatafsir jujuu tuu et mara kabbak na chench hawalitizami hlojengo mchana anakoelekeaTazama upya, huyo wa kununua vitumbua sio mteja tu, maana ya ziada kuwa akiuza faida inarudi kwa wananchi nchini, utaona jamaa anatembea anapeleka hela ktk vitumbua.
Mchina faida anapeleka kwao,unaona anatembea kwenda ktk jengo lenye maandish ya kichina badala kurudi kwa wazawa.
Plus kwa diaspora, watakwambia kwamba ukituma hela nyingi sana kutoka Marekani kwenda nchi nyingi in the name of kutumia familia yako, FBI wana-detect na watakuja on your door kukuuliza kwanini unatuma hela nyingi nje ya nchi.
Ila siwalaumu WACHINA KABISA KABISA!Wakuu,
Tunaposema Wachina ni existentia threat kwenye nchi hii, basi tunamaanisha mambo kama haya.
Mimi nilivyoelewa hii katuni ya Masoud Kipanya ni kwamba:
Pamoja na kwamba mchele unaouzwa na Mtanzania ni gharama lakini Mtanzania akinunua mchele, muuzaji ataenda kununua vitumbua baadae so kutakuwa na mzunguko wa fedha ndani ya nchi. Yaani wataunganishana.
Ila mchina akiuza mchele, yeye hatumii fedha zake kwa Watanzania yaani HAWAUNGISHI wabongo.
Mkishanunua vitu kwake yeye ataenda ataenda kutumia hizo fedha kwenye hotel, restaurants na kwenye mahotel ya kichina.
Na ndo maana Wachina wana CARWASH, HOTEL, RESTAURANTS, YARDS na HOSPITALI.
Mnawapa Wachina hela lakini hawazirudishi kwenu, wanazitumia kwao.
Nyie wenzangu mmeelewaje?
View attachment 3282509
Ukianzisha uzi, wape breathing room wachangiaji wako - hasa wale wenye maoni tofauti na yako ali mradi tu hawakutukani. Sasa wewe kila mchangiaji tu akisema kitu tofauti na wewe hata kama hajatumia lugha ngumu huyoo usharuka naye na ad hominem attacks juu...oooh we masikini, ndo maana, oooh huna exposure; halafu unaacha hata kujadili hoja za msingi.
Acha Wachina watupe somo labda tutabadilika na hizi tamaa zetu za kutaka kupata faida hata mara 4. Na kama nilivyosema adui yetu mkuu ni ufisadi na ufujaji wa raslimali zetu. Hayo mabilioni yanayoibwa na kwenda kufichwa huko na wajanja wachache yangekuwa yanaingizwa katika mzunguko wa fedha yakafika mpaka huku mtaani mbona mambo tungekuwa na ahueni sana?
Acheni wizi wajinga nyie wachina waendelee kuwepo tu
Kwa maisha halisi ulichosema hakina mantiki, sababu mchina anvyodeal na mlaji wa mwisho analeta afueni mtaani.Wakuu,
Tunaposema Wachina ni existentia threat kwenye nchi hii, basi tunamaanisha mambo kama haya.
Mimi nilivyoelewa hii katuni ya Masoud Kipanya ni kwamba:
Pamoja na kwamba mchele unaouzwa na Mtanzania ni gharama lakini Mtanzania akinunua mchele, muuzaji ataenda kununua vitumbua baadae so kutakuwa na mzunguko wa fedha ndani ya nchi. Yaani wataunganishana.
Ila mchina akiuza mchele, yeye hatumii fedha zake kwa Watanzania yaani HAWAUNGISHI wabongo.
Mkishanunua vitu kwake yeye ataenda ataenda kutumia hizo fedha kwenye hotel, restaurants na kwenye mahotel ya kichina.
Na ndo maana Wachina wana CARWASH, HOTEL, RESTAURANTS, YARDS na HOSPITALI.
Mnawapa Wachina hela lakini hawazirudishi kwenu, wanazitumia kwao.
Nyie wenzangu mmeelewaje?
View attachment 3282509
Wewe umeamini hiyo picha ya kuchora?inawezekana serikali ya Tanzania inamikataba ya Siri sana na china mchina anamuumiza mkulima wa mpunga mngeta kilombero huko
Huyo sasa mpe vile vidonge vya umasikini na kukosa exposure; na zaidi ukipenda. You have all my blessings! 😂😂😂👐Shimba ya Buyenze mtu kama huyu unataka nimpokee vipi mkuu
Hizo ni fikra zako tu hazina ukweli wowote kwa sasa bidhaa za kichina ndo zimeliteka soko la dunia na ndo bidhaa za bei nafuu mbona hazijawahi kupandishwa bei kwa sababu ndo zimeliteka soko kwa miaka na miaka?Usipaniki.
Nimejibu huko juu.
Nimekwambia hizo prices HAZITODUMU. Ni mbinu ya kibiashara tu hiyo.
Ni kama Halotel tu walivyokuja kipindi kile wakiwa wapya na "vifurushi vya bei nafuu" walivyopata wateja hivyo vifurushi vimeishia wapi?
Na inaonekana hukai hata Dar. Kuna maduka mengi ya wabongo wanauza bidhaa za kichina in a very cheap price
Shida mnakaa maporini huko. Vitu mnasoma mitandaoni
sawa KPWewe umeamini hiyo picha ya kuchora?
Wanachokilalamikia madalali ni baada ya mchina kuuza bidhaa za viwandani bei ileile aliyokua akiwauzia madalali kisha madalali kuja kutuuzia sisi
Yani madalali walikua wanayo mschimbo yao ambayo ni wachina, sasa baada ya wachina kuingiza mitaani bidhaa zile bila mkono wa madalali ndipo ugomvi ulipo
Mimi nimeelewa mchele ambao wewe unauza Tsh 3000, mchina anauza tsh 1000.
Sasa mteja aliyenunua kwa mchina atabaki na elfu mbili ya kwenda kununua vitumbua, viungo vya kupikia mchele pamoja na dagaa.
Hivyo kama umepata msongo wa mawazo nadhani umepona
Bora basi ununue huo mchele wa mchina uuze 1200😊
Kabisa mkuu,na hii hali inatokana na kwamba anayetakiwa kuwa mwekezaji katika biashara kubwa kama ya uzalishaji viwandani,anageuka nae kuwa mmachinga au kufanya biashara ya mwananchi wa kawaida kabisa,tunajimaliza sisi wenyewe, kwakuwa viongozi wetu hawaoni kuwa hii ni dosari kubwa sana inatugharimu pakubwa sana.Huyo Mtanzania mwenzako anayeuza mchele elfu tatu ndio huyo huyo anayenunua vitumbua. Nenda kamuungishe mchina ambaye vitumbua hanunui na hela yako anapeleka kwenye bank ya kichina/china, na aliyekuwa anakuuzia mchele elfu tatu kwakua humuungishi, anashindwa kununua vitumbua hivyo vitumbua haviuziki! mwisho mzunguko mdogo wa fedha, uchumi mkua mgumu, umasikini kuongezeka.
Hii hali inamkuta hata m USA kule kwake na kwingine,ndo anapiga sana bit dhidi ya mchina kokote,,ni ushindani huo huo hata USA hautaki.Hakuna cha shallow thinking, watanzania hatupendi ushindani kwenye nyanja yoyote ile.