Picha: Nini kinamtesa Paul Makonda?

Picha: Nini kinamtesa Paul Makonda?

Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?

Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Mbona picha ni za siku nyingi. Na hata hizo toba ni za siku nyingi sio karibuni.
 
Laana ya kutukana watu, kudharirisha watu, kupiga wazee km WARIOBA, kufanya mauaji na kupokonya haki ya kuishi ya watz wengi.....
 
Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?

Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Huyu ni mwizi, fisadi, anatakiwa kuwa jera tu,
Akilia anatoa machozi ya mamba tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila nimeamini hakuna wanafiki Kama wajumbe...Kuna mzee kazimia huku alichotegemea kwa wajumbe kimekuwa tofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wajumbe sio watu wazuri na hapo wamekula rushwa ya kila mgombea na bado kura wakawatosa
 
Kuna watu wanafikiri huyu jamaa ana maisha kama wao
 
TUBU TUBU TUBU NA KIRI UMWOMBE MSAMAHA AMERUDI JAMAA. WALIOKUTUMA NA KUKUTUMIA WAMEKUTUPA HUNA PA KWENDA. Njoo mwana mpotevu hakuna dhambi isiposameheka ukitubu kwa dhati omba msamaha kwa dhati kwa kadamnasi na useme wazi uliwajeruhi wakusamehe. Hatia ya dhambi itafutwa hutaamini Ndugu Daudi Bashite trust in GOD
Kwahiyo hata kina Trump hawajamfungulia?
Haina haja ya kumpokonya Viza maana hahitajiki kule Duniani,labda abadilishe jinsia.
 
Tunaojua tunajua we mwache tunajua anapitia mapito gani. Iwe fundisho: usicheze na anga za yule mwovu, na usimdhulumu mtu uhai wake. Mtaona mengi na hata boss wake wa zamani ana wakati wake, tusubiri.
Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?

Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Wamchunge tu asije kujidhuru tukapoteza ushahidi!
Kalikoroga mwenyewe , msituhusishe
Huyu ni bonge la bongo movie
When was this? Siyo ya zamani?

Something is haunting him! Kuna mzimu wa mtu fulani unamsuta!
Huyu jamaa tusipokuwa makini anaweza akachukua maamuzi magumu .

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kinyesi ni kinyesi tu hata kikipewa jina gani kitabaki kinyesi tu
Kuwanyima watu haki ya kuishi
 
Back
Top Bottom