Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Mbona picha ni za siku nyingi. Na hata hizo toba ni za siku nyingi sio karibuni.Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?
Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!