Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Yupo kwa lengo maalum la kuongeza idadi ya wagombea na vyamaAnayemshauri lipumba agombee urais hamtakii mema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo kwa lengo maalum la kuongeza idadi ya wagombea na vyamaAnayemshauri lipumba agombee urais hamtakii mema.
Laana ya Maalim inamtafunaMgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
Amuunge mkono Lissu yaishe.Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
CHADEMA wakipata wabunge hata wawili uchaguzi huu unijulishe
Mshahara wa dhambi ni mautiAnalipa malipo ya usaliti
Upo sahihi kabisaaKwa kura watapata wabunge zaidi ya 70, ila kwa maagizo ya Magufuli, hawatapata hata mbunge mmoja.
Huyo Lipumba miaka yote alikuwa anatembelea nyota ya Maalim Seif, CCM wakamuingiza chaka saa hii anakutana na ukweli mchungu. Yeye na Mbatia tuliwaambia huo uchaguzi wa 2015 walipanda thamani kwa kuwa kwenye ukawa sababu ya cdm, waligoma kabisa ila saa hii hatuandikii mate.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We huoni maelfu ya watu hapo? Angalia vizuri
From hero to zero ,haya ndo malipo ya usalitiMgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
Amevunja rekodi ya wingi wa watu. Lisu hawezi kufikia wingi huu! Amevunja rekodi!Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
Naomba anaeweza kunitajia Wagombea Ubunge Watatu tuu wa NCCR ya Mbatia ukiacha Jimbo analogombea yeye maana tuliaminishwa na Ndugai kuwa atakuwa KUB Bunge lija
Kuna Selasini, Komu na Mustafa Muro wa Kinondoni. Wote hawa walikuwa chadema. Hivi kumbe Ndugai alisema hili?Naomba anaeweza kunitajia Wagombea Ubunge Watatu tuu wa NCCR ya Mbatia ukiacha Jimbo analogombea yeye maana tuliaminishwa na Ndugai kuwa atakuwa KUB Bunge lijalo.
Malipo ni hapa hapa!We huoni maelfu ya watu hapo? Angalia vizuri
Ha ha ha haaaaaa le Professeur!! Watu hawana mshipa ya aibu aisee! Anahutubia mchanga? Au anavyomsikia Amani Golugwa anasema watu kama kokoto anafikri Lissu kweli anahutubia kokoto?Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020