Uchaguzi 2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

Uchaguzi 2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

Ujinga tu.
Huko ni kugawa kura bure tu!!
Angemuunga mkono lissu ,, angepungukiwa nini.
 
Mbatia aliingaia chaka mazima
Labda ashinde vunjo
Maana uchaguzi huyu
Ni mgumu kwa wapinzani
Huyo Lipumba miaka yote alikuwa anatembelea nyota ya Maalim Seif, CCM wakamuingiza chaka saa hii anakutana na ukweli mchungu. Yeye na Mbatia tuliwaambia huo uchaguzi wa 2015 walipanda thamani kwa kuwa kwenye ukawa sababu ya cdm, waligoma kabisa ila saa hii hatuandikii mate.
 
Pole Sana Professor
Hii Ndio hamta ya uasaliti
Kwenye upinzani haupo kwenye CCM wameshamaliza Kazi na wewe
Toilet paper never used Twice
 
Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020

Amevunja rekodi ya wingi wa watu. Lisu hawezi kufikia wingi huu! Amevunja rekodi!

Profesa takataka! Si asimamishe kampeni akajipumzikie. BUT, ni pesa za CCM , CCM inatafuta legitimacy ya kuwa vyama pinzani vilishiriki na hivyo kuiba!
 
Naomba anaeweza kunitajia Wagombea Ubunge Watatu tuu wa NCCR ya Mbatia ukiacha Jimbo analogombea yeye maana tuliaminishwa na Ndugai kuwa atakuwa KUB Bunge lija

Naomba anaeweza kunitajia Wagombea Ubunge Watatu tuu wa NCCR ya Mbatia ukiacha Jimbo analogombea yeye maana tuliaminishwa na Ndugai kuwa atakuwa KUB Bunge lijalo.
Kuna Selasini, Komu na Mustafa Muro wa Kinondoni. Wote hawa walikuwa chadema. Hivi kumbe Ndugai alisema hili?
 
Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020

Ha ha ha haaaaaa le Professeur!! Watu hawana mshipa ya aibu aisee! Anahutubia mchanga? Au anavyomsikia Amani Golugwa anasema watu kama kokoto anafikri Lissu kweli anahutubia kokoto?
 
Back
Top Bottom