PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

Tanzania ina historia aiseh!!Sasa HUU umasikini nani kauleta???!!
Chama kama Chama (Jina) hakina tatizo.

Tatizo ni wanaopewa mamlaka kupitia chama.

Viongozi wa Afrika, karibia wote wanafanana na mbaya zaidi Bara limetekwa na mawazo ya vijana wapya ambao hawajui harakati za ukombozi zilikuaje.

Vijana Wanachojua ni Kujilimbikizia Mali.
 
Chama kama Chama (Jina) hakina tatizo.

Tatizo ni wanaopewa mamlaka kupitia cham...
Chenge, Lowassa, Kangi, Mramba, Mgonja na wale watakatishaji pesa 507 walikuwa ndani nao ni vijana?

Ishu za upigania uhuru sijui upuuzi gani sio maisha ya usasa, kwa Sasa tunapambana na umaskini kwa technology sio kelele za umajumui wa kila kitila mkumbo.

USSR
 
Kama sio serikali tusipokee taarifa za kizushi hivi. Serikali haijawahi kusema hili.
 
Hiyo miaka alikuwa bado chuoni. Halafu alikuwa bado hajaingia jeshini.
 
Hapo pichani Kuna Vladimir Putin, Samora Machel (Rais wa Msumbiji), Emmerson Mnangagwa (Rais wa Sasa Wa Zimbabwe).
 
... kigoda cha Mwalimu.
 
We jamaa nahisi nakufaham andika yako..nimeconnect dot some where.....

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…