PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

Tanzania ina historia aiseh!!Sasa HUU umasikini nani kauleta???!!
Chama kama Chama (Jina) hakina tatizo.

Tatizo ni wanaopewa mamlaka kupitia chama.

Viongozi wa Afrika, karibia wote wanafanana na mbaya zaidi Bara limetekwa na mawazo ya vijana wapya ambao hawajui harakati za ukombozi zilikuaje.

Vijana Wanachojua ni Kujilimbikizia Mali.
 
Chama kama Chama (Jina) hakina tatizo.

Tatizo ni wanaopewa mamlaka kupitia cham...
Chenge, Lowassa, Kangi, Mramba, Mgonja na wale watakatishaji pesa 507 walikuwa ndani nao ni vijana?

Ishu za upigania uhuru sijui upuuzi gani sio maisha ya usasa, kwa Sasa tunapambana na umaskini kwa technology sio kelele za umajumui wa kila kitila mkumbo.

USSR
 
Kama sio serikali tusipokee taarifa za kizushi hivi. Serikali haijawahi kusema hili.
 
Hapo pichani Kuna Vladimir Putin, Samora Machel (Rais wa Msumbiji), Emmerson Mnangagwa (Rais wa Sasa Wa Zimbabwe).
 
Chenge,lowasa, kangi ,mramba ,mgonja na wale watakatishaji pesa 507walikuwa ndani nao ni vijana ?

Ishu za upigania uhuru sijui upuuzi gani sio maisha ya usasa ,kwa Sasa tunapambana na umaskini kwa technology sio kelele za umajumui wa kila kitila mkumbo

USSR
... kigoda cha Mwalimu.
 
Use your brain for reasoning not your gut.
Putin was 20 years in 1973. How old was he when he joined the army and be in high school and University at the same time and still be able to come over here and be a trainer, go back to Russian in 75 to be awarded a law degree, then come down here and continue to train great armies like ours. It is an insult for a 20 year old to come añd train TPDF.
YOU GET THE POINT YOU NITWIT?
We jamaa nahisi nakufaham andika yako..nimeconnect dot some where.....

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom