Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

Ingekuwa Dodoma inakusaidia nini? La maana nchi imetulia serikali inaendeshwa hata ingekuwa Mtwara sawa tu.
Swali lake la msingi ni kwamba-Kwa nini serikali ilitumia kodi yake vibaya kujenga ikulu nyingine Dodoma na kulipa wafanyakazi pamoja na gharama nyingine wakati ikijua haina utashi wa dhati na jambo hilo?
 
... kwa hiyo mawaziri wote, wasaidizi na madereva wao wametiririka all the way hadi Dar kwa ajili ya kikao? Ikulu ya Dodoma ni ya nini? Watendaji wadogo (nyoka) mna khasara kweli.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. https://t.co/Nm1ct3TGZi
View attachment 1884186

Ila Watanzania hatuwezi kufanikiwa kwenye anga za uchumi wa ushindini. Eti Hii ni picha ya ikulu?

Kikao cha Baraza la Mawarizi? Angalia lile bango nyuma ya hao mawaziri, ubora wa bango na lilivyoegeshwa kwa mbao?! Ungetegemea watu watumie fursa kama hizi kutoa vitu vyenye ubora vya kutangaza mbuga zetu ila mhhhh
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. https://t.co/Nm1ct3TGZi
View attachment 1884186
Nadhani inabidi pia tuambiwe ni jambo gani muhimu linalofanya iwe lazima kurudisha tena shughuli za serikali Dar es Salaam mara hii ili tuelewe kwamba ilikuwa ni makosa kuhamia Dodoma.
 
Chakata akili zako ujue msingi wa swali

Kikao kikiisha Mawaziri wanalamba posho, kisha wanarudi vituo vyao kazi jijini Dodoma
Wewe ndio hujui, wakiwa Dar hawalipwi posho yoyote maana wana nyumba huko pia. Kwa hiyo kama hiyo ndio ilikuwa tatizo lako nimeshakupa taarifa.
 
Back
Top Bottom