Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

Swali lake la msingi ni kwamba-Kwa nini serikali ilitumia kodi yake vibaya kujenga ikulu nyingine dodoma na kulipa wafanyakazi pamoja na gharama nyingine wakati ikijua haina utashi wa dhati na jambo hilo?
Unaumiza kichwa bure, fanya kazi ingizia kipato familia yako.
 
Naona waziri Hussein Mwinyi yupo na PM na senior Lukuvi hapo.

Mama aliwahi kuendesha kikao hicho enzi za JPM na Hussein akiwa kakaa pembeni ya PM hivyo yani.

Asipokuwepo Raisi, Makamu, WM, basi kikao kitaendeshwa na Lukuvi, Hussein akiendelea kukaa hapo hapo sio?

Zanzibar inaongozwa na raisi au waziri wa serikali ya JMT? Kikao hicho kinazungumzia mambo ya Muungano tu au hata na yale yasio ya muungano?

Kwanini kwenye bunge la JMT, ZNZ ingekuwa inawakilishwa na spika wa baraza lao pengine na makamu wa huko kwao?

Kwanin kwenye bunge la JMT kusingekuwa na session ya kujadili mambo ya muungano ambapo wawakilishi wa Znz wanakuwepo, session ikiisha wajikatae?

Hata sielewi, ndo mnasema tunatakiwa kupata Katiba nyingine ili niweze kuelewa?
That means Rais wa Zanzibar is nothing more than a mere Minister. Rais anaingia kikao Cha Baraza la Mawaziri kinachokuwa chaired na Rais wa Jamhuri ya Muungano wakati yeye alipaswa kukaa kikao Chao wawili kinachokuwa chaired na Waziri wa Muungano kama moderator 🤷
 
Hicho kikao lazima kilikua

kikali
Dada Joy ndani
Dada Doro ndani
Mashimba ndani ya nyumba
Jafo duh kazi ilikuwepo
Madeluh
Kitila ndani mweh mweh mweh

Ingekua Ni mwalimu hapo
Angekuwepo
Edwin Mtei
Cleopa Msuya
Amir Jamal
Alnoor Kassum
Jackson Makweta
Deceiver senior
George Kahama
Yaani Hadi raha
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. https://t.co/Nm1ct3TGZi
View attachment 1884186
Amerudisha serikali dar. Aisee inakera sana. Inaonekana anataka kuendesha nchi kama ile ngo yake kwamba misaada toka kwa wazungu ndio muhimu. Aina zote za kujitegemea sasa zinawekwa kapuni.
 
Wewe ndio hujui, wakiwa Dar hawalipwi posho yoyote maana wana nyumba huko pia. Kwa hiyo kama hiyo ndio ilikuwa tatizo lako nimeshakupa taarifa.

Hakuna kitu kama hicho, makazi na familia zao zilishahamia Dodoma sio Dar tena

Wakija Dar wanalamba posho. Kumbuka kuna madereva pía huambatana nao plus Gharama za mafuta za yale 'mashangingi'

Waziri Kwandikwa amefariki na msiba ulikuwa nyumbani kwake Kibaha, kwann isiwe kwenye nyumba zao za mawaziri Masaki, Mikocheni au K'nyama!???
 
Kulazimisha kukamilisha makao makuu Dodoma ulikuwa uamuzi wa kukurupuka wa yule mshamba na dikteta uchwara aliyekufa kifo cha kizembe kwa kuendekeza ushirikina kwenye korona
Dikteta hayupo na sasa tuko na mama anatupeleka vizuri!

Si unaona magaidi yanvyokamatwa?

Kumbe dikteta alikuwa analea magaidi
 
Kulazimisha kukamilisha makao makuu Dodoma ulikuwa uamuzi wa kukurupuka wa yule mshamba na dikteta uchwara aliyekufa kifo cha kizembe kwa kuendekeza ushirikina kwenye korona


Sijui waloamua ni kina nani?

Gharama kubwa sana ktk kujenga majengo mapya na Safari
 
  • Thanks
Reactions: G4N
That means Rais wa Zanzibar is nothing more than a mere Minister. Rais anaingia kikao Cha Baraza la Mawaziri kinachokuwa chaired na Rais wa Jamhuri ya Muungano wakati yeye alipaswa kukaa kikao Chao wawili kinachokuwa chaired na Waziri wa Muungano kama moderator 🤷
😁😁😁
 
Back
Top Bottom