Swali lake la msingi ni kwamba-Kwa nini serikali ilitumia kodi yake vibaya kujenga ikulu nyingine Dodoma na kulipa wafanyakazi pamoja na gharama nyingine wakati ikijua haina utashi wa dhati na jambo hilo?Ingekuwa Dodoma inakusaidia nini? La maana nchi imetulia serikali inaendeshwa hata ingekuwa Mtwara sawa tu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. https://t.co/Nm1ct3TGZi
View attachment 1884186
Chakata akili zako ujue msingi wa swaliIngekuwa Dodoma inakusaidia nini? La maana nchi imetulia serikali inaendeshwa hata ingekuwa Mtwara sawa tu.
Mmmmmmm ndo kusema ikulu ya Dodoma immesuswa kabisaaa,daaahRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. https://t.co/Nm1ct3TGZi
View attachment 1884186
Hujaelewa?Si what?
Mliotumbuliwa mna hasira na marehemu hatari!!Kulazimisha kukamilisha makao makuu Dodoma ulikuwa uamuzi wa kukurupuka wa yule mshamba na dikteta uchwara aliyekufa kifo cha kizembe kwa kuendekeza ushirikina kwenye korona
Wanufaika wa jiwe hawajifichiMliotumbuliwa mna hasira na marehemu hatari!!
Lakini ndo hivyo kurudi tena kwa kutumia vyeti vya ndugu hauwezi kamwe.
Yes mie nanufaika mpaka kwa mother sina nongwa kabisa.Wanufaika wa jiwe hawajifichi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. https://t.co/Nm1ct3TGZi
View attachment 1884186
Nadhani inabidi pia tuambiwe ni jambo gani muhimu linalofanya iwe lazima kurudisha tena shughuli za serikali Dar es Salaam mara hii ili tuelewe kwamba ilikuwa ni makosa kuhamia Dodoma.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. https://t.co/Nm1ct3TGZi
View attachment 1884186
Anaongoza au anaongozwa?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. https://t.co/Nm1ct3TGZi
View attachment 1884186
wana kimbia covid-19, wanasema dodoma hali mbaya.Kikao kimefanyika Dar tena sio Ikulu ya Dodoma!??
Daah.....!!!
Ni 'Promo' mkuu. PR inayoendana na matukio yaliyopo nchini kwa wakati huu.Sijaona umuhimu wa uzi huu
Who is chairperson of cabinet?Anaongoza au anaongozwa?
Wewe ndio hujui, wakiwa Dar hawalipwi posho yoyote maana wana nyumba huko pia. Kwa hiyo kama hiyo ndio ilikuwa tatizo lako nimeshakupa taarifa.Chakata akili zako ujue msingi wa swali
Kikao kikiisha Mawaziri wanalamba posho, kisha wanarudi vituo vyao kazi jijini Dodoma
Aisee!Maushungi kashindwa kazi. Nchi ni kama haina rais vile .