Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri


Kabisa, ameshajua nchi ni shamba la bibi, hivyo anaendelea kutengeneza genge lake la walaji, ndio maana wanamshauri anyamazishe watu.
 
Fisadi n mkwele ndiyo mshauri wake ila tumepatana chochote tunacho panga kikibuma lawama tutazipeleka kwa hayati Magufuli

Uzuri tunajua wapo na Magufuli, na wapi atakuwa yeye.
 
Kulazimisha kukamilisha makao makuu Dodoma ulikuwa uamuzi wa kukurupuka wa yule mshamba na dikteta uchwara aliyekufa kifo cha kizembe kwa kuendekeza ushirikina kwenye korona
Wewe utakufa unaahangaikia roho yako isitoke.maana sio mshamba.
 
Reactions: G4N
Kikao kimefanyika Dar tena sio Ikulu ya Dodoma!??

Daah.....!!!
Hii hata mimi nimeshangaa sana kama wizara zote zipo Dom kuna haja gani ya kufanya kikao Dar...!!?
Manake hapo waziri anahesabika yupo nje ya kituo cha kazi lazima alipwe per diem....
 
Swali lake la msingi ni kwamba-Kwa nini serikali ilitumia kodi yake vibaya kujenga ikulu nyingine Dodoma na kulipa wafanyakazi pamoja na gharama nyingine wakati ikijua haina utashi wa dhati na jambo hilo?
Nimeishi Dodoma si chini ya miaka 25.
Nimeishi DSM si chini ya miaka 25.
Nimesafiri sana barabara ya Dodoma - Moro - Dar, lakini sijawahi ona barabara ipo busy na mavieitee kama awamu hii.
Hizi gharama ni kodi za Watanzania ambazo zingeweza kupeleka maji safi na salama pale Chato na Tanzania nzima.
Bado maamuzi ya mtu mmoja yanaathiri mamilioni ya Watanzania.
Kuna ulazima wa hizi safari za Dom - Dar!?
 
Mkuu unawaza kama mimi,nashangaa sana namna tunavyoweka mambo yetu,hapo ndipo kikao cha baraza la mawaziri kinafanyikia yaani dah..

Tazama ziara ya Rwanda juzi wale jamaa masuala ya itifaki wanayajua kweli kweli,ila bongo kweli nyoso..

Eti hapo aiyefanya kazi kinyonge hivyo naye analipwa kuwa ikulu. Dah
 
Yaani ndugu yangu, hapo gharama zote hizo za viongozi wa serikali kuishi na kufanya kazi miji miwili, si ndio maana wananchi mmeambiwa mlipie zaidi kupitia hizo wanazoziita ' tozo' .........poleni na muendelee kula mtori na nyama mtazikuta chini na mkubali tu yaishe...
Hii hata mimi nimeshangaa sana kama wizara zote zipo Dom kuna haja gani ya kufanya kikao Dar...!!?
Manake hapo waziri anahesabika yupo nje ya kituo cha kazi lazima alipwe per diem....
 
Hakuna namna ya kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…