Picha: Rejeta yangu inamwaga maji kwa presha

Jamaa anacheki kama gari inachemsha kwa kuangalia mfuniko wa rejeta? huyu jamaa ni noma.
 
Yale maji ukifungua mfuniko yalivyo ya moto umekwisha, hata kwenye gari inayochemsha kufungua mtu unachukua spana ya kufungua tairi na chuma cha jeki. Unatumia hivyo kuuzungusha na baada ya kuuweka wazi, unarudi chuma fasta sana
Wengine wanafungua kidogo alafu anauacha, anakuja tena kidogo anauacha hadi anamaliza wote
 
siku moja gari ilizingua taa sasa nikashuka kuangalia why haiwakii... aisee kumbe huwa zinapata moto balaaa wee niliungua kidolee nikasema nishikie tshirt nayo shwaa duuh 😀 😀 😀
[emoji3]siku nyingine tumia spana na chuma cha jeki kile kufungua huo mfuniko. Utakuja kuharibu showroom ya mwili hiyo ukose warembo mjini hapa
 
Sasa kurudisha maji sindio mfumo wake ulivyotengenezwa hivyo. Lazma kuna mda yanarudi kwenye reservior tank. Maji yakichemka lazma yatokote nachokiona kwenye hio video ni kuwa hio gari haina maji kabisa.
 
Hahahah kafungua kama anafungua bia 🤣!!! Mpe pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…