PICHA: Tazama Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Umakini Kumlinda

Mbumbumbu mzungu wa reli, haujui hata walinzi wanaposimama!

Huyo aliyevaa kiaskari siyo mlinzi ni maaidizi.

Huyo mwenye suti na ushungi anaitwa bodyguard lakini ni wa mapambo, hawezi zuia shambulio lolote lililolengwa kumdhuru Rais.

Picha uliyoionesha wewe mlamba matako siyo ya walinzi halisi wa Rais.

Weka picha nzima ya hadhara nikuelekeze walinzi wote walivyosimama katika nafasi zao.

Uchawa ulishaga kupanda sana kichwani, kazikusifia tu hata mambo usiyoyajua!
Acha dharau dogo. Mimi naelewa kila kitu na kile nachoandka
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Napenda sana matukio na namna mambo yanavyopangwa kitaalamu na kiumaridadi. Napenda na kukoshwa sana na umakini wa walinzi wa Rais wetu Mpendwa. Namna wanavyojipanga katika tukio au matukio yanayohusisha watu wengi au katika maeneo ya Rais wetu Mpendwa kusalimiana na watu au viongozi au katika upigaji wa picha au pale Rais anapokuwa jukwaani kuhutubia .

Kiukweli unaona na kutambua namna kulivyo na umakini na mpangilio wenye umakini ,weledi ,akili na utalaamu wa hali ya juu sana katika upangaji na mpangilio wa kikosi cha walinzi wa Rais wetu Mpendwa.

Embu angalia picha hii hapa chini ya walinzi hawa wawili. Hapa unaona ni walinzi wenye umakini mkubwa sana na wenye utulivu na utimamu wa akili na mwili. Ni walinzi ambao kimaumbo na kimo wana uwezo wa kuona matukio yote kutoka pande zote kumzunguka Mheshimiwa Rais.

Kwa Vimo vyao Wana Uwezo wa kuzungusha macho yao na kutupa kila upande na kuona kila kitu . Kwa kila tukio lililo mbele ya Rais au pembeni ya Rais wana uwezo wa kuliona bila kipingamizi wala kizuizi cha aina yoyote ile. Hata ukiwaangalia tu muonekano wao unaona kabisa ni watu waliopikwa ,kupikika na kuiva kisawasawa katika eneo la ulinzi wa Rais.

Kwa hakika najivunia Utanzania wangu. Najivunia Taifa na Nchi yangu .najivunia Rais wangu Mama Samia. Najivunia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na nina imani navyo kubwa sana na pia nina imani katika CCM chama kilicho na uchungu na Maisha ya watanzania.View attachment 3357145

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kuna viongozi walikuwa wana tembea hadi na antbalistic misaile ila hawako Dunuani now,
 
Jitahidi uwahishwe Mirembe utibiwe haraka na kwa dharula
Wewe ndiye wa kutibiwa kwa haya mashudu unayojaza humu. Kuzaliwa kwako ni matumizi mabaya ya manii, bimkubwa wako angejua kuwa anazaa papai hii mimba angeichoropoa tu.
 
Mbumbumbu mzungu wa reli, haujui hata walinzi wanaposimama!

Huyo aliyevaa kiaskari siyo mlinzi ni maaidizi.

Huyo mwenye suti na ushungi anaitwa bodyguard lakini ni wa mapambo, hawezi zuia shambulio lolote lililolengwa kumdhuru Rais.

Picha uliyoionesha wewe mlamba matako siyo ya walinzi halisi wa Rais.

Weka picha nzima ya hadhara nikuelekeze walinzi wote walivyosimama katika nafasi zao.

Uchawa ulishaga kupanda sana kichwani, kazikusifia tu hata mambo usiyoyajua!
Bro,umechafukwa hadi umemquote mtu siyo.

Uliyemkusudia bwana Lucas Mwashambwa ameweka emoj ya kukucheka.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Napenda sana matukio na namna mambo yanavyopangwa kitaalamu na kiumaridadi. Napenda na kukoshwa sana na umakini wa walinzi wa Rais wetu Mpendwa. Namna wanavyojipanga katika tukio au matukio yanayohusisha watu wengi au katika maeneo ya Rais wetu Mpendwa kusalimiana na watu au viongozi au katika upigaji wa picha au pale Rais anapokuwa jukwaani kuhutubia .

Kiukweli unaona na kutambua namna kulivyo na umakini na mpangilio wenye umakini ,weledi ,akili na utalaamu wa hali ya juu sana katika upangaji na mpangilio wa kikosi cha walinzi wa Rais wetu Mpendwa.

Embu angalia picha hii hapa chini ya walinzi hawa wawili. Hapa unaona ni walinzi wenye umakini mkubwa sana na wenye utulivu na utimamu wa akili na mwili. Ni walinzi ambao kimaumbo na kimo wana uwezo wa kuona matukio yote kutoka pande zote kumzunguka Mheshimiwa Rais.

Kwa Vimo vyao Wana Uwezo wa kuzungusha macho yao na kutupa kila upande na kuona kila kitu . Kwa kila tukio lililo mbele ya Rais au pembeni ya Rais wana uwezo wa kuliona bila kipingamizi wala kizuizi cha aina yoyote ile. Hata ukiwaangalia tu muonekano wao unaona kabisa ni watu waliopikwa ,kupikika na kuiva kisawasawa katika eneo la ulinzi wa Rais.

Kwa hakika najivunia Utanzania wangu. Najivunia Taifa na Nchi yangu .najivunia Rais wangu Mama Samia. Najivunia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na nina imani navyo kubwa sana na pia nina imani katika CCM chama kilicho na uchungu na Maisha ya watanzania.View attachment 3357145

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nautafuta huo Umakini unaouhubiri siuoni tena kwa Umakini mkubwa nilionao naona kuna mianya mingi sana ya Israeli kufanya yake sema tu Waganga 17 wanasaidia mno pamoja na Mafuta Maalum ya Kung'arisha Nyago.
 
Haitusaidii sisi ,wanyonge ambao
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Napenda sana matukio na namna mambo yanavyopangwa kitaalamu na kiumaridadi. Napenda na kukoshwa sana na umakini wa walinzi wa Rais wetu Mpendwa. Namna wanavyojipanga katika tukio au matukio yanayohusisha watu wengi au katika maeneo ya Rais wetu Mpendwa kusalimiana na watu au viongozi au katika upigaji wa picha au pale Rais anapokuwa jukwaani kuhutubia .

Kiukweli unaona na kutambua namna kulivyo na umakini na mpangilio wenye umakini ,weledi ,akili na utalaamu wa hali ya juu sana katika upangaji na mpangilio wa kikosi cha walinzi wa Rais wetu Mpendwa.

Embu angalia picha hii hapa chini ya walinzi hawa wawili. Hapa unaona ni walinzi wenye umakini mkubwa sana na wenye utulivu na utimamu wa akili na mwili. Ni walinzi ambao kimaumbo na kimo wana uwezo wa kuona matukio yote kutoka pande zote kumzunguka Mheshimiwa Rais.

Kwa Vimo vyao Wana Uwezo wa kuzungusha macho yao na kutupa kila upande na kuona kila kitu . Kwa kila tukio lililo mbele ya Rais au pembeni ya Rais wana uwezo wa kuliona bila kipingamizi wala kizuizi cha aina yoyote ile. Hata ukiwaangalia tu muonekano wao unaona kabisa ni watu waliopikwa ,kupikika na kuiva kisawasawa katika eneo la ulinzi wa Rais.

Kwa hakika najivunia Utanzania wangu. Najivunia Taifa na Nchi yangu .najivunia Rais wangu Mama Samia. Najivunia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na nina imani navyo kubwa sana na pia nina imani katika CCM chama kilicho na uchungu na Maisha ya watanzania.View attachment 3357145

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hautusaidii sisi.Sisi tunawaza tutatekwa lini mana Nchi imeinama.
 
Mungu wetu ni mwema sana nitamsifu daima, aliweka hii Dunia isiwe makazi ya kudumu. Angesema uhai unalindwa hakika maponjoro tungekoma. Tuishi bila kuumiza watu.
 
Back
Top Bottom