Mamake mwashambwa!
Mamake mwashambwa!
Sometimes nadhani Luca zinakuruka kidogoNdugu zangu Watanzania,
Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Napenda sana matukio na namna mambo yanavyopangwa kitaalamu na kiumaridadi. Napenda na kukoshwa sana na umakini wa walinzi wa Rais wetu Mpendwa. Namna wanavyojipanga katika tukio au matukio yanayohusisha watu wengi au katika maeneo ya Rais wetu Mpendwa kusalimiana na watu au viongozi au katika upigaji wa picha au pale Rais anapokuwa jukwaani kuhutubia .
Kiukweli unaona na kutambua namna kulivyo na umakini na mpangilio wenye umakini ,weledi ,akili na utalaamu wa hali ya juu sana katika upangaji na mpangilio wa kikosi cha walinzi wa Rais wetu Mpendwa.
Embu angalia picha hii hapa chini ya walinzi hawa wawili. Hapa unaona ni walinzi wenye umakini mkubwa sana na wenye utulivu na utimamu wa akili na mwili. Ni walinzi ambao kimaumbo na kimo wana uwezo wa kuona matukio yote kutoka pande zote kumzunguka Mheshimiwa Rais.
Kwa Vimo vyao Wana Uwezo wa kuzungusha macho yao na kutupa kila upande na kuona kila kitu . Kwa kila tukio lililo mbele ya Rais au pembeni ya Rais wana uwezo wa kuliona bila kipingamizi wala kizuizi cha aina yoyote ile. Hata ukiwaangalia tu muonekano wao unaona kabisa ni watu waliopikwa ,kupikika na kuiva kisawasawa katika eneo la ulinzi wa Rais.
Kwa hakika najivunia Utanzania wangu. Najivunia Taifa na Nchi yangu .najivunia Rais wangu Mama Samia. Najivunia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na nina imani navyo kubwa sana na pia nina imani katika CCM chama kilicho na uchungu na Maisha ya watanzania.View attachment 3357145
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
wameolewa!Ndugu zangu Watanzania,

Kwani ulikufa lini ukakuta sijalaani.Chawa hilo Halijawah hata kulaani. Mauaji kazi kusifia sifia
Sahv unasifia mpaka ma bodyguard
Hayo ni maisha binafsi ya mtu.wameolewa!
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja. Kwani unaona hao wote ni wapambe?Hujui tofauti ya mlinzi na mpambe.
Kunguni hopeless kabisa.
Huna akili WeweKama wapo makini kwa nini unataka na kenge tumlinde?
Mimi nipo timamu kabisa.Sometimes nadhani Luca zinakuruka kidogo
Nadhani kuwa hujui kwamba kwenye security circles, spouses wana umuhimu wa hali ya juu sana. Wengine hamjui kwa nini Putin aliachana na mke wake takribani miaka 20 iliyopita na hadi leo hii bado anaishi single.Hayo ni maisha binafsi ya mtu.
Na ndio maana unaona Rais wetu akiendelea kuwa salama na mambo yakipangika kwa sababu anayetoa njia na maarifa ni Mungu Mwenyewe"Mwenyezi Mungu asipolinda mji walindao wafanya kazi Bure"
Zaburi 127:1
Huna akili Wewe
Zaburi 127Ndugu zangu Watanzania,