PICHA: Tazama Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Umakini Kumlinda

Hata waliopita walilindwa hivyo hivyo! Hakuna cha ajabu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Napenda sana matukio na namna mambo yanavyopangwa kitaalamu na kiumaridadi. Napenda na kukoshwa sana na umakini wa walinzi wa Rais wetu Mpendwa. Namna wanavyojipanga katika tukio au matukio yanayohusisha watu wengi au katika maeneo ya Rais wetu Mpendwa kusalimiana na watu au viongozi au katika upigaji wa picha au pale Rais anapokuwa jukwaani kuhutubia .

Kiukweli unaona na kutambua namna kulivyo na umakini na mpangilio wenye umakini ,weledi ,akili na utalaamu wa hali ya juu sana katika upangaji na mpangilio wa kikosi cha walinzi wa Rais wetu Mpendwa.

Embu angalia picha hii hapa chini ya walinzi hawa wawili. Hapa unaona ni walinzi wenye umakini mkubwa sana na wenye utulivu na utimamu wa akili na mwili. Ni walinzi ambao kimaumbo na kimo wana uwezo wa kuona matukio yote kutoka pande zote kumzunguka Mheshimiwa Rais.

Kwa Vimo vyao Wana Uwezo wa kuzungusha macho yao na kutupa kila upande na kuona kila kitu . Kwa kila tukio lililo mbele ya Rais au pembeni ya Rais wana uwezo wa kuliona bila kipingamizi wala kizuizi cha aina yoyote ile. Hata ukiwaangalia tu muonekano wao unaona kabisa ni watu waliopikwa ,kupikika na kuiva kisawasawa katika eneo la ulinzi wa Rais.

Kwa hakika najivunia Utanzania wangu. Najivunia Taifa na Nchi yangu .najivunia Rais wangu Mama Samia. Najivunia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na nina imani navyo kubwa sana na pia nina imani katika CCM chama kilicho na uchungu na Maisha ya watanzania.View attachment 3357145

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi we jamaa una akili kweli!?
 
Stive nyerere bwana na wewe si unakuwa pembeni kamati ya wasanii kububujikwa na machozi
IMG_1486.jpeg
 
Kaka kazi kama ya kwako napataje?
Naweza ku push agenda!
 
Mlinzi ni Mungu kupitia Malaika wake maana kama Bwana hajaulinda Mji wake wakeshao wanafanya kazi bure.
 
Luka,

Mnafanyaje fanyaje wenzetu hadi mnapata madeal ya Lumumba ya kupokea kibunda cha buku Saba kwa siku? min -me niliona Kuna Uzi anaomba umconect na uchawa.
Ila siku mchongo wa buku 7000 mkuu😆😆😆 labda 200k kwa kutwa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Napenda sana matukio na namna mambo yanavyopangwa kitaalamu na kiumaridadi. Napenda na kukoshwa sana na umakini wa walinzi wa Rais wetu Mpendwa. Namna wanavyojipanga katika tukio au matukio yanayohusisha watu wengi au katika maeneo ya Rais wetu Mpendwa kusalimiana na watu au viongozi au katika upigaji wa picha au pale Rais anapokuwa jukwaani kuhutubia .

Kiukweli unaona na kutambua namna kulivyo na umakini na mpangilio wenye umakini ,weledi ,akili na utalaamu wa hali ya juu sana katika upangaji na mpangilio wa kikosi cha walinzi wa Rais wetu Mpendwa.

Embu angalia picha hii hapa chini ya walinzi hawa wawili. Hapa unaona ni walinzi wenye umakini mkubwa sana na wenye utulivu na utimamu wa akili na mwili. Ni walinzi ambao kimaumbo na kimo wana uwezo wa kuona matukio yote kutoka pande zote kumzunguka Mheshimiwa Rais.

Kwa Vimo vyao Wana Uwezo wa kuzungusha macho yao na kutupa kila upande na kuona kila kitu . Kwa kila tukio lililo mbele ya Rais au pembeni ya Rais wana uwezo wa kuliona bila kipingamizi wala kizuizi cha aina yoyote ile. Hata ukiwaangalia tu muonekano wao unaona kabisa ni watu waliopikwa ,kupikika na kuiva kisawasawa katika eneo la ulinzi wa Rais.

Kwa hakika najivunia Utanzania wangu. Najivunia Taifa na Nchi yangu .najivunia Rais wangu Mama Samia. Najivunia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na nina imani navyo kubwa sana na pia nina imani katika CCM chama kilicho na uchungu na Maisha ya watanzania.View attachment 3357145

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Machozi wapi sasa ,au yamekauka
 
JFK alikuwa na ulinzi kuliko huyu, what happened to him?
 
Wejamaa nduguzako wakuwahi, nikama una loose connection upstairs.
 
Back
Top Bottom