Luka asikusumbue kukupandisha sukari,mkuu.Ungekuwa mtoto wangu, ningekupeleka Somalia na kukukabidhi kwa Al Shabaab ili wakuvishe mabomu na kwenda kulipuliwa mbali huko. Maana nisingeweza kuvumilia huu upumbavu wako.
Nimekusamehe bure kabisa. Amani ya Bwana iwe pamoja nawe na akakufanye kuwa chombo chake kipya cha kuhubiri neno lake na upendo kwa watu woteZilaaniwe shahawa chafu za baba yako zilizokuzaa ***** Lucas Mwashambwa
Huyu mtoto ni bure kabisa. Yaani utafikiri alizaliwa wakati wa njaa. Haiwezekani akili yake yote ameihamishia tumboni!Luka asikusumbue kukupandisha sukari,mkuu.
Huyu na yule kinembe sijui kiembe ni masarange wa Lumumba,hapa anatimiza wajibu tu,ila hata yeye hampendi mama kutoka moyoni ndiyo maana akisign out tu mitaa ya mbogamboga akifika home kwake vingunguti anaingia chumbani kisha anabubujikwa na machozi kwa usaliti anaowafanyia watanganyika wenzie.
Msamehe Bure tu,mkuu,njaa mbaya sana.
Mimi silipwi kuwepo hapa jukwaaniKwa hiyo vile vitita vya buku Saba Saba pale Lumumba wewe ndiyo sarange
wa kuwapanga kwenye mstari wakati wa kugawa? View attachment 3357151
Mimi sikuzaliwa wakati wa njaa na wala sina njaa. maana mimi ni mkulima ndugu yangu mtanzania.Huyu mtoto ni bure kabisa. Yaani utafikiri alizaliwa wakati wa njaa. Haiwezekani akili yake yote ameihamishia tumboni!
Luka siyo mtoto,mkuu.Huyu mtoto ni bure kabisa. Yaani utafikiri alizaliwa wakati wa njaa. Haiwezekani akili yake yote ameihamishia tumboni!
Mbona uwezo wako ni mdogo sana una elimu gan mwashabwa ?Ndugu zangu Watanzania,
Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Napenda sana matukio na namna mambo yanavyopangwa kitaalamu na kiumaridadi. Napenda na kukoshwa sana na umakini wa walinzi wa Rais wetu Mpendwa. Namna wanavyojipanga katika tukio au matukio yanayohusisha watu wengi au katika maeneo ya Rais wetu Mpendwa kusalimiana na watu au viongozi au katika upigaji wa picha au pale Rais anapokuwa jukwaani kuhutubia .
Kiukweli unaona na kutambua namna kulivyo na umakini na mpangilio wenye umakini ,weledi ,akili na utalaamu wa hali ya juu sana katika upangaji na mpangilio wa kikosi cha walinzi wa Rais wetu Mpendwa.
Embu angalia picha hii hapa chini ya walinzi hawa wawili. Hapa unaona ni walinzi wenye umakini mkubwa sana na wenye utulivu na utimamu wa akili na mwili. Ni walinzi ambao kimaumbo na kimo wana uwezo wa kuona matukio yote kutoka pande zote kumzunguka Mheshimiwa Rais.
Kwa Vimo vyao Wana Uwezo wa kuzungusha macho yao na kutupa kila upande na kuona kila kitu . Kwa kila tukio lililo mbele ya Rais au pembeni ya Rais wana uwezo wa kuliona bila kipingamizi wala kizuizi cha aina yoyote ile. Hata ukiwaangalia tu muonekano wao unaona kabisa ni watu waliopikwa ,kupikika na kuiva kisawasawa katika eneo la ulinzi wa Rais.
Kwa hakika najivunia Utanzania wangu. Najivunia Taifa na Nchi yangu .najivunia Rais wangu Mama Samia. Najivunia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na nina imani navyo kubwa sana na pia nina imani katika CCM chama kilicho na uchungu na Maisha ya watanzania.View attachment 3357145
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Toka lini sisiem mkapenda kujitolea kupiga PA za uchawa?Mimi silipwi kuwepo hapa jukwaani
Kachumbari mwenyeweHao mbona ni kachumbari
Asante kwa kuniruhusu, we ni MaTaKoWewe tukana tu na nitakusamehe bure kabisa.
Wewe ni Bwege Mtozeni Rofa Mkubwa/ Yaani Umri Ulikuwa Nawo Si Wakuendekeza Uchawa WakoMimi sikuzaliwa wakati wa njaa na wala sina njaa. maana mimi ni mkulima ndugu yangu mtanzania.
Ndugu zangu Watanzania,